Wakuu Wenzangu nawaombeeni Msaada nataka ku Formart Windows 7 ili iwe Leopard OSX

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,317
33,115
Nawaombeeni Ushauri wenu kwa haya hapa maelezo yaliyo chini nimeyaelewa lakini kitu kimoja sijaelewa hebu nifafanulieni nacho nitawwambia baada ya kuweka hayo maandishi hapa hebu someni hapa
41HJEQ96XPL._SL500_AA280_.jpg

Leopard contains over 300 changes and enhancements, covering core operating system components as well as included applications and developer tools. Leopard introduces a significantly revised desktop, with a redesigned Dock, Stacks, a semitransparent menu bar, and an updated Finder that incorporates the Cover Flow visual navigation interface first seen in iTunes. Other notable features include support for writing 64-bit graphical user interface applications, an automated backup utility called Time Machine, support for Spotlight searches across multiple machines, and the inclusion of Front Row and Photo Booth, which were previously only included with some Mac models.

Introduces over 300 new and enhanced features to OS X, including a new desktop and updated finder enabling easy browsing and sharing between multiple Macs
Take advantage of the latest developments in processor hardware with full native 64-bit support, multi-core optimization, and new Core animation
Preview files without opening an application using Quick Look
Easily and automatically back up and restore lost files or a complete Mac with Time Machine
Create groups of applications and instantly switch between them with Spaces
NEW! First major update for Leopard already integrated in this release!
NEW! Thanks to KALYWAY a pendrive is NO LONGER NEEDED to install OSx86

Remember to check your processor which must support SSE2 or SSE3.

Before you install mac osx86

1) Create a new partition and make it primary partition (for it to be able to boot)
2) Make that partition into Fat32 for mac osx to recognise.
3) Boot from DVD and go to diskulitily.
4) Select that partition and go to erase tab to reformat the partition into mac partition.
5) Close the app, and go thru the installation like installing winxp

Sasa hayo maandishi mekundu sijaelewa yaani ( processor which must support SSE2 or SSE3) ni CPU Gani inayo kuwa Support SSE2 AU SS3 ?

Maelezo kwa Ufupi ya computer yangu ni haya hapa

OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate
Version 6.1.7600 Build 7600
Other OS Description Not Available
OS Manufacturer Microsoft Corporation
System Name BIOSTAR-COMPUTE
System Manufacturer BIOSTAR Group
System Model P4M900-M7 FE
System Type X86-based PC
Processor Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06GHz, 3066 Mhz, 1 Core(s), 1 Logical Processor(s)
BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009
SMBIOS Version 2.4
Windows Directory C:\Windows
System Directory C:\Windows\system32
Boot Device \Device\HarddiskVolume1
Locale United States
Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7600.16385"
User Name BIOSTAR-COMPUTE\MziziMkavu
Time Zone GTB Standard Time
Installed Physical Memory (RAM) 3.00 GB
Total Physical Memory 3.00 GB
Available Physical Memory 1.33 GB
Total Virtual Memory 6.00 GB
Available Virtual Memory 4.11 GB
Page File Space 3.00 GB
Page File C:\pagefile.sys

Je inaweza kukubali nikitaka Ku Install ( Mac OS X Leopard v10.5.1 OSx86 [Intel CPUs] ? Au nitauwa Mother board yangu? nikijaribu ku istall hiyo Mac OS X Leopard v10.5.1 OSx86 [Intel CPUs? Nawaombeni ushauri wenu asanteni
 
MziziMkavu

OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate
Version 6.1.7600 Build 7600
Other OS Description Not Available
OS Manufacturer Microsoft Corporation
System Name BIOSTAR-COMPUTE
System Manufacturer BIOSTAR Group
System Model P4M900-M7 FE
System Type X86-based PC
Processor Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06GHz, 3066 Mhz, 1 Core(s), 1 Logical Processor(s)
BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009
SMBIOS Version 2.4
Windows Directory C:\Windows
System Directory C:\Windows\system32
Boot Device \Device\HarddiskVolume1
Locale United States
Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7600.16385"
User Name BIOSTAR-COMPUTE\MziziMkavu
Time Zone GTB Standard Time
Installed Physical Memory (RAM) 3.00 GB
Total Physical Memory 3.00 GB
Available Physical Memory 1.33 GB
Total Virtual Memory 6.00 GB
Available Virtual Memory 4.11 GB
Page File Space 3.00 GB
Page File C:\pagefile.sys

Hapo nilipowekea BOLD ndo kuna point zaidi. Kwa jinsi hii mashine yako inaweza kuwekwa OSX bila shida, muhimu download CPUZ http://rapidshare.com/files/437067854/CPUZ.By.Prateek.rar uweze kujua zaidi specification za mashine yako kisha nitakupa zaidi
 
Mi sina utaalam wowote apo ila naona umenipa details za computer yako ili ukileta ukorofi nkutrace na nkuzukie ulipo! Tee teh nakutania kaka. Ila siku ile nilikuambia u trace ID mgt software ni mtaalam. UkiPM atakujibu,mi nilipoteza mawasiliano nae apa Jf ila alinisaidia sana kwenye software za cm na kompyuta!
 
Swali la MziziMkavu sio gumu, ndo maana nimemuwekea link ya CPUZ ili ajue aina ya Motherboard yake kama ni Intel SSE2/SSE3 au AMD kuwezesha OSX kuingia. Lazima ujue hivyo kwanza kisha inafuata kujua driver za mashine yako ndo utafanikiwa kuweka OSX.

Ni kama kumjua mkeo wapi pa kumshika kumfikisha tehtehteh
 
Kama DVD yako ni BOOTABLE basi washa computer DVD ikiwa ndani, make first boot=CD/DVD kisha press any key inapowaka, cross your fingers mpaka itakapokuwa imeshaload Welcome screen OSX Intsllation, nenda Utilities kisha Disk Utility chagua Disk yako unayohitaji kuiformat kisha tengeneza Partition nenda Option chagua kama ni MBR au GPT Partition table kisha Apply
 
Je na mie ninaetumia Laptop aina ya Compaq presario CQ60-218EM, Yentewe ina RAM 2GB, Processor AMDsempron SI-42 ambayo ina 2.1GHZ na Nvidia graphics, Inaweza kukubali kuinstall?
 
Je na mie ninaetumia Laptop aina ya Compaq presario CQ60-218EM, Yentewe ina RAM 2GB, Processor AMDsempron SI-42 ambayo ina 2.1GHZ na Nvidia graphics, Inaweza kukubali kuinstall?

Hapo kwenye Bold inaweza kuwekwa OSX vyema kabisa, hapo kwenye RED nipe aina ya nVIDIA graphic card yako tujue inaweza kuingiza string zake au la!
 
Nimecheki NVidia yako ni NVIDIA GeForce 8200M ambayo inaweza vyema kabisa

HardwareProduct Name CQ60-218EM
Product Number
NP621EA
Microprocessor
2.10 GHz AMD Sempron™ Processor for Notebook PCs SI-42
Microprocessor Cache
Level 2 cache 512 KB
Memory 2048 MB (2 x 1024 MB)
Memory Max
Up to 4 GB DDR2
Video Graphics
NVIDIA GeForce 8200M
Video Memory
Up to 895 MB
Hard Drive
160 GB SATA (5400 rpm)
Multimedia Drive
Lightscribe Super Multi DVD Writer (+/-R +/-RW) with Double Layer support
Display
15.6" Single channel LVDS HD BrightView (1366 x 768)
Fax/Modem
High speed 56K modem
Network Card
Ethernet 10/100BT integrated
Wireless Connectivity
802.11b/g WLAN
Sound
Altec Lansing® speakers

3D Sound Blaster Pro compatible sound 16 bit integrated
 
MziziMkavu

OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate
Version 6.1.7600 Build 7600
Other OS Description Not Available
OS Manufacturer Microsoft Corporation
System Name BIOSTAR-COMPUTE
System Manufacturer BIOSTAR Group
System Model P4M900-M7 FE
System Type X86-based PC
Processor Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06GHz, 3066 Mhz, 1 Core(s), 1 Logical Processor(s)
BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009
SMBIOS Version 2.4
Windows Directory C:\Windows
System Directory C:\Windows\system32
Boot Device \Device\HarddiskVolume1
Locale United States
Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7600.16385"
User Name BIOSTAR-COMPUTE\MziziMkavu
Time Zone GTB Standard Time
Installed Physical Memory (RAM) 3.00 GB
Total Physical Memory 3.00 GB
Available Physical Memory 1.33 GB
Total Virtual Memory 6.00 GB
Available Virtual Memory 4.11 GB
Page File Space 3.00 GB
Page File C:\pagefile.sys

Hapo nilipowekea BOLD ndo kuna point zaidi. Kwa jinsi hii mashine yako inaweza kuwekwa OSX bila shida, muhimu download CPUZ http://rapidshare.com/files/437067854/CPUZ.By.Prateek.rar uweze kujua zaidi specification za mashine yako kisha nitakupa zaidi

Haya hapa chini ndio Maelezo ya Computer Yangu

Intel Pentium 4 519K
Windows 7 Ultimate Edition (Build 7600)
CPU Arch : 1 CPU - 1 Cores - 1 Threads
CPU PSN : Intel Pentium 4 CPU 3.06GHz
CPU EXT : MMX, SSE (1, 2, 3), EM64T
CPUID : F.4.1 / Extended : F.4
CPU Cache : L1 : 12 / 16 KB - L2 : 1024 KB
Core : Prescott (90 nm) / Stepping : E0
Freq : 3066.61 MHz (133.33 * 23)

MB Brand : Biostar
MB Model : P4M900-M7 FE
NB : VIA P4M900/CN896/VN896/PT890 rev 00
SB : VIA VT8237A rev 00

GPU Type : Radeon X300/X550/X1050 Series (Microsoft Corporation - WDDM)
DirectX Version : 11.0

RAM : 3072 MB DDR2 Single Channel
RAM Speed : 333.3 MHz (2:5) @ 5-5-5-15
Slot 1 : 2048MB (5300)
Slot 1 Manufacturer : Kingston
Slot 2 : 1024MB (5300)
Slot 2 Manufacturer : Kingston

Je ninaweza ku Formart Leopard OSX ? Ninataka Ushauri wenu asante.
 
Mashine yako inaweza kabisa kuwekwa OSX kwa sababu ina SSE 1,2,3, motherboard BIOS ni BIOSTAR pia utaweka VIA Ata drivers vilevile ina Graphic card inayokubalika na OSX ATI Radeon X300/X550/X1050 Series

Je ushazihakiki driver za P4M900-M7 FE ili kujua utaingiza driver gani namaanisha Sound na Network?
Ni hizi hapa:
Wakati wa Kuinstall OSX pia utachagua hizi;
Realtek RTL8201CL - 10/100 PHY, hivyo utaweka Realtek RTL8201CL kext driver kwa ajili ya Network.
Realtek ALC662 6-Channel HD, Audio utaweka Realtek ALC662 Audio kext au Azalia Audio itafanya vizuri tu.
SATA/IDE driver.
Chagua ATI Radeon x... kutegemea na Graphic card yako ikoje kwenye hiyo series
 
Thanks Much Kimokole MWanzo nilisikia kuwa Apple Computer wameanza kutumia Procesor za intel Nika dhani pia software zao zitakuwa compartible za IBM compartible PC's ambazo zinatumia Intel Processor tu. Sasa swali ni Je Kwa mie ninae pendelea Dual boot ninaweza kuendelea na mchezo huu between MAC X OS na Windows 7 Pamoja na Linux Kiukwelii Zote tatu nazipenda. Na katika mtiririko wa OS ipi inatakiwa itangulie?
 
0712484995(EDSON KENNEDY)
chizicomputer.blogspot.com
mac inayo weza kussaport ni snow 10.06 ambayo ndo ina weza kusaport processor za inter na adm kama una mac snow ina sapport
 
Thanks Much Kimokole MWanzo nilisikia kuwa Apple Computer wameanza kutumia Procesor za intel Nika dhani pia software zao zitakuwa compartible za IBM compartible PC's ambazo zinatumia Intel Processor tu. Sasa swali ni Je Kwa mie ninae pendelea Dual boot ninaweza kuendelea na mchezo huu between MAC X OS na Windows 7 Pamoja na Linux Kiukwelii Zote tatu nazipenda. Na katika mtiririko wa OS ipi inatakiwa itangulie?

Unaweza mkuu Shark's Style. Ila ya kwanza kutangulia itakuwa OSX. Muhimu ni kutengeneza Partition kwenye Disk Utilities kwa mfumo uutakao ili kuweka OS nyingine, tena ukitumia Bootloader ya Chameleone V2 ndo mwake
 
Back
Top Bottom