Wakuu, waziri Sitta ananichanganya kuhusu Richmond. Ukweli ni upi?

Bado amenichanganya, na kipindi kimefika mwisho wa awamu ya kwanza, tusubiri awamu ya pili... Aksante tanesco aksante jf
 
Wajemeni Wakuu, leteni uhondo wengine hapa tulipo hakuna TV kwa bahati nina kitu hiki cha tochi namulika hadi JF!
 
Anasema siku ambayo anaikumbuka ni siku El alijiuzulu, anasema hakutegema kujiuzulu kwa El,

Hii inaionesha kwamba, ingekuwa ni yeye basi asingejiuzuru vinginevyo ni nini basi hakutarajia ikiwa anaamini EL alikosa?!
 
Sitta ni msanii sana, kama sehemu kuna mafisadi si angeondoka sasa analalamika nini wakati ni magamba
 
Back
Top Bottom