Wakuu wapya uteuzi

Matango

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
516
89
Ule uteuzi uliokuwa unasubiriwa wakuu wapya wa wilaya, mikoa minne iliyobaki ili waende Hombolo, mwenye taarifa mpya atujuze. Je ni kweli Kamata yumo?
 
Mlawa Zahir

Member
Oct 10, 2011
38
0
Napita njia lakini kete pekee iliyobaki CCM katika uchaguzi mkuu 2015 ni kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mikoa na wilaya pamoja na maafisa tawala mikoa na wilaya,,JK akichemka hapo atakabidhi nchi kwa wapinzani na kwa mara ya kwanza CCM itakuwa chama cha upinzani..
 
BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
586
222

na hapo kweli anaweza kumpa mpinzani nchi,je dc wa igunga atkuwemo kweli?
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,927
2,029
Napita njia lakini kete pekee iliyobaki CCM katika uchaguzi mkuu 2015 ni kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mikoa na wilaya pamoja na maafisa tawala mikoa na wilaya,,JK akichemka hapo atakabidhi nchi kwa wapinzani na kwa mara ya kwanza CCM itakuwa chama cha upinzani..
Hawa wanahusikaje hapa? Mbona sio wateule wa Rais bali waajiriwa kama walivyo Walimu na watumishi wengine?
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hii post kama sijielewa. Naomba atakayeelewa anijuze.
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Hawa wanahusikaje hapa? Mbona sio wateule wa Rais bali waajiriwa kama walivyo Walimu na watumishi wengine?

Mkuu wangu RAS na DAS huwa ni waajiriwa ama wateule wa Rais? Mkuu naona upo mbali kweli. Hawa ni sawa na Makatibu Wakuu wa Wizara kwenye Mikoa yao. Wanaitwa watendaji lakini ni wateule wa President kwa uelewa wangu.
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Napita njia lakini kete pekee iliyobaki CCM katika uchaguzi mkuu 2015 ni kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mikoa na wilaya pamoja na maafisa tawala mikoa na wilaya,,JK akichemka hapo atakabidhi nchi kwa wapinzani na kwa mara ya kwanza CCM itakuwa chama cha upinzani..

red and bolded: mkuu hebu jaribu kufikiria sawasawa uatajua kuwa hiii kitu ni ya miaka 47 ilopita. Haipo kwa sasa mkuu
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,927
2,029
Mkuu wangu RAS na DAS huwa ni waajiriwa ama wateule wa Rais? Mkuu naona upo mbali kweli. Hawa ni sawa na Makatibu Wakuu wa Wizara kwenye Mikoa yao. Wanaitwa watendaji lakini ni wateule wa President kwa uelewa wangu.
Kimbunga soma vizuri Maafisa Tawala ni Administrative Officers na ni waajiriwa wakati RAS ni Katibu Tawala (Mkoa) na DAS ni Katibu Tawala (Wilaya) hawa ndio wateuliwa Mkuu, pole sana kajipange upya na wewe ndio uko mbali saaaaaaana.
 
Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
652
278
Mkuu wangu RAS na DAS huwa ni waajiriwa ama wateule wa Rais? Mkuu naona upo mbali kweli. Hawa ni sawa na Makatibu Wakuu wa Wizara kwenye Mikoa yao. Wanaitwa watendaji lakini ni wateule wa President kwa uelewa wangu.

Mkuu unajichanganya sana RAS ni katibu tawala mkoa vivyo hivyo DAS kwa wilaya. Afisa tawala ni mwingine na ni mwajiriwa kama watumishi wengine. Mtoa mada hajazungumzia RAS na DAS ametaja maafisa tawala.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
20,884
15,817
Napita njia lakini kete pekee iliyobaki CCM katika uchaguzi mkuu 2015 ni kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mikoa na wilaya pamoja na maafisa tawala mikoa na wilaya,,JK akichemka hapo atakabidhi nchi kwa wapinzani na kwa mara ya kwanza CCM itakuwa chama cha upinzani

Hapo kwenye red naona ni cheo kipya unakipendekeza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom