wakuu wanaJF naomba kuwa pamoja nanyi

KITEKSORO

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
346
425
WanaJf heshima kwenu, nami naomba kukubalika kama mmoja wenu. Hakika Jf ni forum ambayo ina mchango mkubwa sana hapa Tanzania. Hapa Jf mambo ya msingi sana hujadiliwa. Aluta continue Jf.
 
Karibu sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Feel at home, ila jitahidi sana usiwe na elementi za ki "facebook", pia wakati mwengine siyo lazima kuchangia au kuanzisha mada mpya! Bora kupita na kusoma tu! Wadau wapya wameishusha sana ile dhana ya "u great thinker"
 
Karibu, jitahidi kusoma sheria na taratibu za hapa uepuke mdudu aitwaye 'ban'
 
Back
Top Bottom