Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Slaa atatawala kupitia ccm siyo cdm tena maana cdm alishatimuliwa kwa usalitikaka uko negative na kila mtu mno.
una maana slaa akitawala atafuta vyeo vyote au ni ulevi tu wa CDM.
Au ndiyo hizo ndoto zenu kuwa kila kitu kitakuwa safi hadi TRA kukusanya 100% ili mishahara iwe kama ulaya.