Wakuu wa Wilaya wapya: Majina yavuja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa Wilaya wapya: Majina yavuja!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Kamugisha, Dec 30, 2011.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kitendawili cha wakuu wa Wilaya kinateguliwa lini? maana tokea nimesoma kwenye gazeti la Tanzania Daima kuwa majina yamevuja mpaka sasa imekuwa kimya.

  Ingawa kulikuwa na tetesi kuwa baada ya miaka 50 ya uhuru watatangazwa wapya, nimeandika ivyo kwa kuwa kwetu hatuna uyo mtu karibia mwaka mzima!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unawataka wa nini??! Kwetu hawa kazi yao ni kupora mifugo yetu!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  umeathirikaje kwa kukosa d.c?na ulinufaikaje kwa kuwa nae?
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Wanasaidia kwenye mambo ya kijamii mkuu ingawa hawana faida sana
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sisi kwetu hatuna mtu wa namna hiyo zaidi ya mwaka na hatuoni tofauti yoyote. Sioni umuhimu wa watu hao hata kidogo.
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Mkuu bila wao kufuatilia mambo ya maendeleo uko vjijini mambo hayaendi, kwa sisi ambao tupo vjjn lakini, ingawa ningependelea mkuu wa wilaya tuwe tunawapata kwa kuwapigia kura au kuwafanyia interview na c kuchaguliwa na rais
   
 7. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Mzee kwenye sikukuu za kitaifa na mbio za mwenge wanasaidia, hata kufuatilia watoto wanaoacha shule au wazazi wanaozuia watoto wao wa kike wasiende shule
   
 8. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  vyeo vya kuondolewa na katiba mpya hivyo
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  na kazi za katibu tawala ni zipi?na afisa tawala je?
   
 10. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Wakati wa ukoloni ndio waliitwa "Mabwana Washauri" na walikuwa wanasheria wakishughulikia maendeleo, ulipaji wa kodi
  na rufaa za mashauri kutoka kwa machifu. Kwa sasa hawana kazi maalum zaidi ya kupiga kampeni kupiga kampeni
  za chama Tawala na kuhamasisha mwenge.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  aaah,mdau mkuu wa wilaya hana nafas,mambo yanaweza kwenda bila yeye
   
 12. wende

  wende JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuuuuuu,Apo kwenye red mark,icho ni kitu gani????
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hao ma DC hawana kazi yeyote zaidi ya kulipwa fadhila.
   
 14. K

  Kitorondo Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  mkuu,wakuu wa wilaya tunawahitaji sana,sehemu ambazo umesema hakuna mkuu wa wilaya kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa na kazi zinakwenda,ni kwamba alikuwepo mkuu wa wilaya ya jirani ambaye anakaimu nafasi hiyo.Ipo NGO mmoja inatakiwa kupata fedha kiasi cha paund laki moja kutoka kwa wafadhili lakini wamekataa kutoa fedha hadi nyaraka zisainiwe na mkuu wa wilaya mwenyewe na si kaimu na wilaya yetu ina kaimu mkuu wa wilaya na muda walioutoa as grace period unakwisha Januari 10,2012 vinginevyo fedha itapangiwa matumizi mengine.kwa mfano ktk wilaya ya Bagamoyo aliyekuwa mkuu wa wilaya alifichua ubadhirifu mkubwa uliofanywa na viongozi wa halmashauri ya bagamoyo na kesi yao inaendelea walikaa lockup kwa zaidi ya miezi nane kutokana na jitihada za DC .hivyo mkuu sasa afanye haraka kuteua shughuli ziendelee
   
 15. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi ya Mkuu wa wilaya kimsingi ni kumwakilisha Rais katika wilaya husika, lakini kwa bahati mbaya haifanyiki hivyo!!! I think cheo hiki kingefutwa kabisa, na wakurugenzi(wa wiliaya) wakaiwakilisha serikali kimajukumu.
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu kama jambo hulijui ni heri kukaa kimya. vinginevyo utakuwa unaleta kichefuchefu tu!
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  serikali haina pesa, walitumia vibaya kwenye maazimisho ya miaka 50, atawatangaza tu soon TRA wanafanya kazi kwanza
   
 18. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  jamani mwenzenu silali nauota huo ukuu wa wilaya mnavyotaka ufutwe wengne tutapata presha bure
   
 19. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wewe umo pia!
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  cheo kisicho na specfic Education
   
Loading...