Wakuu wa Wilaya v/s Maofisa Wa Jeshi - Swala la Ulinzi?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Mara kwa mara huwa nafuatilia uteuzi wa Mh. Rais re Wakuu wa Wilaya, na mara zote karibia 40% uwa ni Maofisa wa Jeshi la Wananchi.

Huu uteuzi wa wanajeshi kuwa wakuu wa wilaya ni kwa sababu gani hasa? Maana nilitegemea hawa maofisa wawe kwenye makambi au "barracks". Kwa mfano:-

Luteni Winfrid Ligubi (Urambo)
Kanali Edmund Mjengwa (Mbinga)
Meja Bahati Matala (Kahama)
Luteni Kanali Serenge Mrengo (Ilemela)
Kapteni Assary Msangi(Iringa)
Kapteni Geoffrey Ngatuni (Musoma)
Luteni Kanali John Mzurikwao (Mpanda)
Kapteni Seif Mpembenwe (Handeni)
Kanali Fabian Massawe (Muleba)
Luteni Kanali Cosmas Kayombo (Mbarali)
Luteni Kanali Benedict Kitenga (Rorya)
Kanali Issa Njiku (Misenyi)

And the list goes on!
 
Mpaka Katiba itakapobadilishwa,haya yatatokea tu.

Hawa ndio wana wanafacilitate wizi wa kura,kama uchaguzi upo.
 
Wengi wanaofanya kazi za ukuu wa wilaya na mkoa ni maofisa wa usalama wa Taifa. Tukumbuke pia hata jeshini wapo na pale inapoonekana kuna sababu ya kupata kiongozi nje ya hawa makada wa kiraia, basi wanaangalia jeshini. Some of them are the best leaders. Some wamechakachuliwa na mashida mengi mengi yasiyoisha
 
na wakuu mikoa je????ila mimi sioni tatizo labda wana balance power...na nafasii.....sioni kama kuna tatizo....sanaa...hasa wilaya za pembezoni ndio wanapenda kuwaweka wakati wa hali tete.............
 
Back
Top Bottom