Wakuu wa Wilaya haooo kula pesa na kutuma text wakati wa Kuagana na Waziri Mkuu Mizengo...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Wakuu wa Wilaya.......



Wakuu wa Wilaya Bi Ernest Kahindi wa Biharamulo(kushoto) na Angelina Mabula wa Muleba wakituma ujumbe wa siku kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba wakati wakisubiri Kuagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohitimisha ziara yake Mkoani Kagera Mwezi March 12-03-2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu​
 
mbonammoja mwanaume alafy wewe unasema BI.

Bila shaka ni mwanachama wa Chadema wewe, mmezoea kusema uongo. Poleni
 
Back
Top Bottom