WAKUU WA VYUO na sekondari WENGI NI MAGAMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAKUU WA VYUO na sekondari WENGI NI MAGAMBA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndakilawe, Jun 6, 2012.

 1. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kufanya utafiti, nakugundua kuwa wakuu wa vyuo na sekondari wengi ni magamba, na huwa wanatumika sana wakati wa chaguzi,..

  Nadhani kuna huja wa wakuu wa vyuo vya serikali wasiwe wanateuliwa na pia wakuu sekondari wasichaguliwe, wapigiwe kura na walimu wenzao.

  Nakumbuka wakati nasoma Old Moshi sekondari mkuu wa shule alikuwa nahifadhi ubwabwa wa ccm kuwagawia wanafunzi jioni na kuwaambia ccm ipite. Ikitokea mwanafunzi ukaonekana ukipita karibu na ofc za chama cah siasa tena iwe cha upinzani, imekula kwako.

  Hali hiyo pia nikaikuta chuoni pale UDSM. Hata wenzetu waliokuwa vyuo vingine noa wakasema hivyo hivyo.


  Tufanyeje kuondoa huu uozo?
   
 2. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wajua leo weye!
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ushaambiwa chama tawala,usishangae sehemu nyeti wakihusika!
   
 4. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Waalimu wao na wafanyakazi wao pia, na hata baadhi ya Wanafuzi wao, Chuchuchu!
   
Loading...