ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Habari Wana JF,
Kwa muda nimekuwa nashangazwa na wakuu wengi wa idara. Wanawafanya walio chini yao kama vile wao ndiyo kazi.
Nafikiri ingefaa tuwe watumishi ndani ya idara kwa kushirikiana na kushirikishana kazi na ujuzi lakini wewe hufanyi lolote zaidi ya kunifuatilia mimi na kukalia haki zangu.
Hivi hatuwezi kubadilika? Nijuavyo cheo kitakutumia kwa muda tu na mwisho kitakukataa na kujitwalia mtu mwingine.