Wakuu wa shule 'syatem' hii itawasaidia Walimu kufanya kazi wa urahisi


Santieli

Santieli

Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
15
Likes
4
Points
5
Santieli

Santieli

Member
Joined Apr 30, 2014
15 4 5
Jamani habari ya jioni ...

Kwa walimu wote hii inawahusu....
Tunatoa huduma ya kitaaluma kama ifuatavyo...
Tunayo system inayo iwezesha shule kitoa matokeo na ripoti kwa wazazi kwa wakati , system inasifa zifuatazo..

Inaandaa matokeo yote ya wanafunzi katika darasa zima
Yaani ina calculate
1. Rank
2. Division
3. Remarks
4. Inaandaa report ya kwa mzazi hadi maoni na mahitaji ya shule kama vile ada, sare na vifaa
5. Inakuruhusu kuandaa ISAL
6. Inakuruhusu kupata matoko ya jumla kama annual kupitia mjumuisho wa midterm na final exams au pia monthly test
7. Kazi yako wewe n kujaza majina ya wanafunzi tu na kuingiza matokeo na system itatoa matokeo rasmi na report baada ya hapo wewe ni kusaini na kuweka kwenye bahasha tayari kumtumia mzazi...


Kwa maelezo zaidi wasiliana nami PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,249,928
Members 481,162
Posts 29,715,012