Wakuu wa Shule hivi vikao vyenu vya mwisho wa mwaka vina tija kwa Taifa?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,378
30,829
Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu.

Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija.

Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja na maazimio madogo Kama kujenga ukuta wa shule.

Walimu wa Tanzania ni kielelezo Cha kufeli kwa taifa hili na ndio maana ni ngumu CCM kuondoka madarakani.

Ualimu wa kikoloni ulimzalisha nyerere na mwinyi walijitahidi.

Media hub ya makerere ikamzalisha mkapa Mambo yalikuwa supa.

Jeshi letu adhimu likamzalisha jakaya super kabisa.

Sasa walimu wametuletea walimu wenzao kule top two daaah ni majanga kwa taifa aisee.

Mungu anisamehe walimu wa tz sijui nawaonaje aisee binti yangu Mungu aapishie mbali asijeolewa na jialimu.
 
Bado pombe iko kichwani kunywa maji mengi ikiisha uje uandike upupu wako huo.
Ngoja walevi tuwe wengi ila ndugu kaongea kitu muhimu,kwn nami nilikuwa mhuudhuliaji mzuri wa vikao vya shule but baada ya kuona madhumuni ya vikao hivyo ni hovyo nikaanza kumtuma house girl kuniwakilisha.Imagine mnakusanywa wazazi juani eti kujadili pesa ya mlinzi au kujadili pesa ya 4000 ziada kwa ajili ya mwl wa Kemia!!!!?
Vitu ambavyo wakuu wanaweza kuwambia watoto wetu watuambie au kutuandikia vimemo kuliko kutuharibia muda wetu.
Merry Christmas.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mwanao anasoma shule ya kata

Jitahidi mtoto wako asome shule nzuri kama hutaki kuhudhuria vikao vya namna hiyo
 
Boy,Mungu ni mwema nimesoma mimi shule za kata enzi za Mwinyi nikamaliza na Ben,Kikwete amenikuta tayari nakula mshahara wa selikali 150000 (netsalary),take home 121000.Mimi sijui ulikuwa wapi enzi hizo.

Sijawahi kutegemea au kuwaza kumpeleka mwanangu shule za kata hadi leo, japo sina uwezo wa kuwapeleka International Schools lakin sijawahi kushindwa kuwapeleka hizi medium schools na Mungu ni mwema wako vizuri wanajivunia baba yao kwa mengi.

Hoja ya mjumbe ni kuhusu wakuu wa shule na vikao vyao vya aidha mwisho,katikati,au mwanzo wa mwaka ambavyo vinaongelea mambo ya kawaida sana!

Kumbuka walimu ni walewale tofauti ni taasisi ya selikali kati ya taasisi private,kwa hiyo sisi kama wazazi hali hii inatukuta boy.

Yawezekana wewe unae mwanao mmoja ndo anasoma huko but mimi ninao watoto 5 wanasoma huko na wengine wapo secondary husidhani kwamba kati ya hao five vikao vyao vyote vya shule sijawahi kwenda ,ninajua ninachomaanisha boy.

Goodmorning,Merry Christmas and happy New Yeah Boy

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu.

Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija.

Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja na maazimio madogo Kama kujenga ukuta wa shule.

Walimu wa Tanzania ni kielelezo Cha kufeli kwa taifa hili na ndio maana ni ngumu CCM kuondoka madarakani.

Ualimu wa kikoloni ulimzalisha nyerere na mwinyi walijitahidi.

Media hub ya makerere ikamzalisha mkapa Mambo yalikuwa supa.

Jeshi letu adhimu likamzalisha jakaya super kabisa.

Sasa walimu wametuletea walimu wenzao kule top two daaah ni majanga kwa taifa aisee.

Mungu anisamehe walimu wa tz sijui nawaonaje aisee binti yangu Mungu aapishie mbali asijeolewa na jialimu.
Hahahahah....wasipo muoa watamtafuna akiwa shule.
 
Hahahhaha
Mtalaam. Acha kuwa dharau hili kundi maalum, unajua sekta ya elimu Tz ina changamoto ambazo ni uniform hasa kwa izi shule za serikal sasa. Changamotto za sekta ya elimu ni kisera zaidi
 
Ngoja walevi tuwe wengi ila ndugu kaongea kitu muhimu,kwn nami nilikuwa mhuudhuliaji mzuri wa vikao vya shule but baada ya kuona madhumuni ya vikao hivyo ni hovyo nikaanza kumtuma house girl kuniwakilisha.Imagine mnakusanywa wazazi juani eti kujadili pesa ya mlinzi au kujadili pesa ya 4000 ziada kwa ajili ya mwl wa Kemia!!!!?
Vitu ambavyo wakuu wanaweza kuwambia watoto wetu watuambie au kutuandikia vimemo kuliko kutuharibia muda wetu.
Merry Christmas.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Wakuandikie kimemo? Unataka wasemelewe kwa mkulu, mkulu saa hizi amejikausha kuwa alipinga michango, michango imerudi kwa njia ya mikutano ya wazazi.
Ndugu yangu kuwa mkuu wa shule ni shida, ni cheo cha hovyo sana ila walimu kwa umasikini wao hukikubali huku wakijua wamekalia kuti kavu, wazazi shida wanasiasa shida.
 
Boy,Mungu ni mwema nimesoma mimi shule za kata enzi za Mwinyi nikamaliza na Ben,Kikwete amenikuta tayari nakula mshahara wa selikali 150000 (netsalary),take home 121000.Mimi sijui ulikuwa wapi enzi hizo.
Sijawahi kutegemea au kuwaza kumpeleka mwanangu shule za kata hadi leo,japo sina uwezo wa kuwapeleka International Schools lakin sijawahi kushindwa kuwapeleka hizi medium schools na Mungu ni mwema wako vizuri wanajivunia baba yao kwa mengi.
Hoja ya mjumbe ni kuhusu wakuu wa shule na vikao vyao vya aidha mwisho,katikati,au mwanzo wa mwaka ambavyo vinaongelea mambo ya kawaida sana!
Kumbuka walimu ni walewale tofauti ni taasisi ya selikali kati ya taasisi private,kwa hiyo sisi kama wazazi hali hii inatukuta boy.Yawezekana wewe unae mwanao mmoja ndo anasoma huko but mimi ninao watoto 5 wanasoma huko na wengine wapo secondary husidhani kwamba kati ya hao five vikao vyao vyote vya shule sijawahi kwenda ,ninajua ninachomaanisha boy.
Goodmorning,Merry Christmas and happy New Yeah Boy

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Well said mkuu. Kiukweli waalimu wa sasa wana uwezo mdogo na ni waoga sana. Halafu kile chama chao ni kama kumekufa, hakuna mchango wowote wa maana.
 
Tatizo sio Walimu kuwa hopeless, tatizo ni wewe kuwa mfuasi wa chama/itikadi fulani. Kwa hiyo Kila mtu au kundi linaloenda tofauti na mategemeo yako unakuwa frustrated.
 
Walimu wanatoa hela za mwenge na kukesha alafu wanakuja kulalamika kwetu sisi tuwafanyaje Walimu mpoje jamani tunaumia mlivyokuwa maroboti nyuma geuka mbele kushoto hata hamkatai
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom