Wakuu wa Shule hivi vikao vyenu vya mwisho wa mwaka vina tija kwa Taifa?

Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu.

Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija.

Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja na maazimio madogo Kama kujenga ukuta wa shule.

Walimu wa Tanzania ni kielelezo Cha kufeli kwa taifa hili na ndio maana ni ngumu CCM kuondoka madarakani.

Ualimu wa kikoloni ulimzalisha nyerere na mwinyi walijitahidi.

Media hub ya makerere ikamzalisha mkapa Mambo yalikuwa supa.

Jeshi letu adhimu likamzalisha jakaya super kabisa.

Sasa walimu wametuletea walimu wenzao kule top two daaah ni majanga kwa taifa aisee.

Mungu anisamehe walimu wa tz sijui nawaonaje aisee binti yangu Mungu aapishie mbali asijeolewa na jialimu.
Izo bangi zitakupeleka pabaya
 
Mkuu naungana na wewe kulaumu umahiri wa walimu wa bongo.infact wao sio wa kulaumiwa zaidi, mfumo wa kuwarecruit ndio balaa.zamani waliokuwa wanapelekwaa kusomea ualimu walikuwa vichwa kweli..ndio maana unaona hao kina mkapa na the like walivo.sikuhizi sio shule zetu za st wala za serikali..hali ni ile ile tu..tofauti wale wa st.wanaongea kizungu hawa kina sisi kiswahili..but uwezo wao wa kufikiri ni moderate kabisaa.
Hivi Waziri na timu yake..kweli mnaweza pokea wale waluofeli form six kwenda ualimu..badala ya kuchagua wale wenye division bora zaidi? Hii ndio sababu hali yetu ya elimu iko hivi ilivo..alafu tunashindana na nchi kama kenya na UG...tutasubiri sanaaaa
 
Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu.

Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija.

Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja na maazimio madogo Kama kujenga ukuta wa shule.

Walimu wa Tanzania ni kielelezo Cha kufeli kwa taifa hili na ndio maana ni ngumu CCM kuondoka madarakani.

Ualimu wa kikoloni ulimzalisha nyerere na mwinyi walijitahidi.

Media hub ya makerere ikamzalisha mkapa Mambo yalikuwa supa.

Jeshi letu adhimu likamzalisha jakaya super kabisa.

Sasa walimu wametuletea walimu wenzao kule top two daaah ni majanga kwa taifa aisee.

Mungu anisamehe walimu wa tz sijui nawaonaje aisee binti yangu Mungu aapishie mbali asijeolewa na jialimu.
Si bora aolewe na mwalimu,

Lakini binti yako ataishia kutiwa mimba na teja la Manzese pale darajani
 
Back
Top Bottom