Unaweza kutukanwa maana hujamzuia mtukanaji kutukana, lakini mtukanaji shuruti alipie utukanaji wake..
Kwaiyo ukiwa Rais uwezi kutuknwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutukanwa maana hujamzuia mtukanaji kutukana, lakini mtukanaji shuruti alipie utukanaji wake..
Kwaiyo ukiwa Rais uwezi kutuknwaa
uzuri huu mwamba wa magharibi huwa nauaminia sana.Wamekubaliana kuhamasisha raia wa nchi wanachama kuchapa kazi, hasa kilimo na uzalishaji wa bidhaa za kujikinga na Covid. Ni kitu ambacho huku bongo kilishawekewa msisitizo. Hapo wamezuga tu kwenye ubadilishanaji wa taarifa za ugonjwa. Wanataka tu kum prove wrong JPM ajifeel alichemka, wakati wao pia ndio wanafatia njia yake.
Hichi ni kipimo madhubuti kwa jiwe, sasa hapa ndio anatakiwa awe jiwe kweli kweli la sivyo akilegeza tu bhas tumepoteza pambano. Watatuchukulia poa sana mipakani, Tukaze hadi wapige magoti.
Unaweza kutukanwa maana hujamzuia mtukanaji kutukana, lakini mtukanaji shuruti alipie utukanaji wake.
Rais siyo malaika, lakini amekaa kumwakilisha Mungu. Sasa Mungu mwenyewe anapotukanwa, huwa hamwachi mtukanaji(labda aombe msamaha), kwanini Rais akitukanwa, mtukanaji aachwe?Acha kutisha watu hapa Raisi siyo malaika lazima atukanwe inapobidi
Shida wenzio wanafikiri hili kitawasaidia kupata kura hapo oktobaHEBU SIMAMENI KAMA NCHI MOJA
WAZEE, ISIJE IKAWA KUNA KITU WAKUU ZETU WANAKIJUA NYIE HAMKIJUI.....
ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais siyo malaika, lakini amekaa kumwakilisha Mungu. Sasa Mungu mwenyewe anapotukanwa, huwa hamwachi mtukanaji(labda aombe msamaha), kwanini Rais akitukanwa, mtukanaji aachwe?
Hakuna aliyetunakanwa labda kaambiwa ukweli....kutukana watz wote ndio nini mkuu. Kuiba aibe mmoja maovu afanye mmoja alafu wasingiziwe watz wote acha ubandiduTukana unavyoweza, ila kitendo cha kumtukana Rais wa nchi ni uzwazwa wa hali ya juu. Kumtukana Rais na kumuona hafai, inamaanisha unatutukana waTanzania wote.
Wapi nimemtaja Magufuli? Mimi namtaja Rais, na kama unamaanisha Rais Dr John Pombe Magufuli, sijamfananisha na Mungu, bali nimemtaja mamlaka aliyonayo kuwa yametoka kwa Mungu, hivyo yeyote anayemdharau mpakwa mafuta wa Mungu, sharti apate joto.Sasa unamfananisha Mungu na Magufuli kweli wewe nimzima.
Ukweli wa kipumbavu. Yaani uambiwe ukweli na vijamaa nyuma ya keyboard uufuate, uachane na ushauri wa wataalamu waliokuzunguka?Hakuna aliyetunakanwa labda kaambiwa ukweli....kutukana watz wote ndio nini mkuu. Kuiba aibe mmoja maovu afanye mmoja alafu wasingiziwe watz wote acha ubandidu
Wapi nimemtaja Magufuli? Mimi namtaja Rais, na kama unamaanisha Rais Dr John Pombe Magufuli, sijamfananisha na Mungu, bali nimemtaja mamlaka aliyonayo kuwa yametoka kwa Mungu, hivyo yeyote anayemdharau mpakwa mafuta wa Mungu, sharti apate joto.
Ipo hivi kama ulimchagua umetukanwa kama hujamchagua haujatukanwa ...........................Hivyo sio watanzania woteTukana unavyoweza, ila kitendo cha kumtukana Rais wa nchi ni uzwazwa wa hali ya juu. Kumtukana Rais na kumuona hafai, inamaanisha unatutukana waTanzania wote.