chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,689
- 22,703
Asee, muangalieni asije akajichimbia , CORONA haikimbiwi kwa namna anavyofikiria yeyeNa chato kakimbia yuko Rubondo,
Asee, muangalieni asije akajichimbia , CORONA haikimbiwi kwa namna anavyofikiria yeyeNa chato kakimbia yuko Rubondo,
Yaani tunakosa kuwakilishwa kimataifa katika mambo muhimu yanayotuhusu kwa sababu ya lugha kwa mtu mmoja tuliyempa wajibu huo! Inasikitisha sana!Mzee lugha inamsubua ajui lugha
wazee msilalale.....lalelale wazee msilalee bado mapambano X2
We mbwa Corona ni waasi? Mbona unalinganisha visivyolinganishwa? Nyie hata Lissu kupigwa risasi mnasema kwani watu wangapia wanapigwa risaisi US.....Hamna ankili kabisaMjinga ni wewe mwenyewe. Hivi umesahau kipindi kile cha Rais mstaafu J. M. Kikwete, Kenya, Uganda na Rwanda walitutenga na kuanzisha COW hii ikiwa ni baada ya JK kumshauri PK akae na waasi wamalize tofauti zao?
Before unlocking you have to lock first.Anzeni kuandaa hata mgombea wenu wa uraisi, bado miezi miwili na nusu(wiki 10) kampeni zianze. Hii kiki ya Corona imeshabuma. Uingereza wameanza taratibu kurudi maofisini na kufanya mazoezi mitaani na kutembeleana leo. Ligi za Ujerumani zinaanza wiki hii jumamosi, Italy tarehe 25. USA majimbo mengi yanaondoa lockdown next week. Hizo nchi za EAC zinazoiga kila kitu zitaachia raia soon waingie mtaani. Mambo yanarudi normal before mid June. Tafuteni kiki nyingine.
Hatupaswi kushirikiana nazo.. Zenyewe ndio zinapaswa kuja kuomba usaidizi.. Kwani sie tuna shida gani? Bandari tunayo.. Hatuhitaji kupiga hodi kwa jirani kuomba atufungulie mlango.. Chakula tunacho.. Hatuhitaji kuomba msaada wa chakula kwa jirani.. Na pia tuna mbinu za kutosha kupambana na Corona.. So hatuna shida.. Hatuhitaji msaada kutoka nchi nyingine za EAC.kichwa chako kimejaa up.upu, kwa hiyo nchi yetu ikiwa kubwa hatupaswi kushirikiana na nchi nyingine?
Tukana unavyoweza, ila kitendo cha kumtukana Rais wa nchi ni uzwazwa wa hali ya juu. Kumtukana Rais na kumuona hafai, inamaanisha unatutukana waTanzania wote.We mbwa Corona ni waasi? Mbona unalinganisha visivyolinganishwa? Nyie hata Lissu kupigwa risasi mnasema kwani watu wangapia wanapigwa risaisi US.....Hamna ankili kabisa
Usiwe pumbavu, majibu mtayapata tuWe mbwa Corona ni waasi? Mbona unalinganisha visivyolinganishwa? Nyie hata Lissu kupigwa risasi mnasema kwani watu wangapia wanapigwa risaisi US.....Hamna ankili kabisa
Hakuwepo kama kawaida yake.MKAIDI.
Tukana unavyoweza, ila kitendo cha kumtukana Rais wa nchi ni uzwazwa wa hali ya juu. Kumtukana Rais na kumuona hafai, inamaanisha unatutukana waTanzania wote.
yani hawa wazee ni kama kile kikao cha nani atamfunga paka kengere.
wamenadili wamemaliza paka akashuka na kubena mmoja,biashara ikaishia pale pale.
mnajadili kitu ambacho mnajua kabisa hamuwezi kufanya chochote,sijui ni mauzo au maigizo kwa wazungu??
Ni Rais wa nchi.Kwani Rais ninani mpaka asitukanwe
Burundi na Tanzania ni wale wale, The laggards .........!!!
.Ni Rais wa nchi.