Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
13,927
2,000
Mjinga ni wewe mwenyewe. Hivi umesahau kipindi kile cha Rais mstaafu J. M. Kikwete, Kenya, Uganda na Rwanda walitutenga na kuanzisha COW hii ikiwa ni baada ya JK kumshauri PK akae na waasi wamalize tofauti zao?
We mbwa Corona ni waasi? Mbona unalinganisha visivyolinganishwa? Nyie hata Lissu kupigwa risasi mnasema kwani watu wangapia wanapigwa risaisi US.....Hamna ankili kabisa
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,231
2,000
Anzeni kuandaa hata mgombea wenu wa uraisi, bado miezi miwili na nusu(wiki 10) kampeni zianze. Hii kiki ya Corona imeshabuma. Uingereza wameanza taratibu kurudi maofisini na kufanya mazoezi mitaani na kutembeleana leo. Ligi za Ujerumani zinaanza wiki hii jumamosi, Italy tarehe 25. USA majimbo mengi yanaondoa lockdown next week. Hizo nchi za EAC zinazoiga kila kitu zitaachia raia soon waingie mtaani. Mambo yanarudi normal before mid June. Tafuteni kiki nyingine.
Before unlocking you have to lock first.
 

WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,010
2,000
Sifurahishwe na jinsi Magu anavyo handle hii Corona lakini sipendi East Africa Community toka hawa wajinga walivyomtenga JK na CoW sijawahi kuwaheshimu tena.

Nchi pekee East Africa ambayo wanawaheshimu Watanzania nadhani ni Warundi lakini hawa wapumbavu wengine wana ujirani wa kinafiki.
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
421
500
Wanajadili nini cha maana, zaidi ya kupiga soga tu. Hata wakisema wamepata dawa bado mpaka shirika la mabeberu WHO ndo likubali vinginevyo haina maana, Melekezo ya kujikinga tunasubili mabeberu ndo watuambie tufanyeje ili tujikinge, tanzania corona itaisha kama itakavyoisha katika mataifa mengine.
 

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
2,907
2,000
kichwa chako kimejaa up.upu, kwa hiyo nchi yetu ikiwa kubwa hatupaswi kushirikiana na nchi nyingine?
Hatupaswi kushirikiana nazo.. Zenyewe ndio zinapaswa kuja kuomba usaidizi.. Kwani sie tuna shida gani? Bandari tunayo.. Hatuhitaji kupiga hodi kwa jirani kuomba atufungulie mlango.. Chakula tunacho.. Hatuhitaji kuomba msaada wa chakula kwa jirani.. Na pia tuna mbinu za kutosha kupambana na Corona.. So hatuna shida.. Hatuhitaji msaada kutoka nchi nyingine za EAC.
 

Chorio

JF-Expert Member
Apr 25, 2020
316
1,000
yani hawa wazee ni kama kile kikao cha nani atamfunga paka kengere.

wamenadili wamemaliza paka akashuka na kubena mmoja,biashara ikaishia pale pale.

mnajadili kitu ambacho mnajua kabisa hamuwezi kufanya chochote,sijui ni mauzo au maigizo kwa wazungu??
Wamekubaliana kuhamasisha raia wa nchi wanachama kuchapa kazi, hasa kilimo na uzalishaji wa bidhaa za kujikinga na Covid. Ni kitu ambacho huku bongo kilishawekewa msisitizo.

Hapo wamezuga tu kwenye ubadilishanaji wa taarifa za ugonjwa. Wanataka tu kum prove wrong JPM ajifeel alichemka, wakati wao pia ndio wanafatia njia yake.

Hichi ni kipimo madhubuti kwa jiwe, sasa hapa ndio anatakiwa awe jiwe kweli kweli la sivyo akilegeza tu bhas tumepoteza pambano. Watatuchukulia poa sana mipakani, Tukaze hadi wapige magoti.
 
Top Bottom