Wakuu wa nchi wakutana Vienna, Austria (Africa Europe Forum 2018) sisi tuko wapi?

Wamealikwa akili kubwaz wakajadili mambo ya kitaifa... Wacha sisi tuendelee kujadili ushoga na korosho ndiyo level zetu
 
Mkuu kwenye hizo forum hakuna chochote positive ambacho African wanakipata zaidi ya kupata exposure tu.
Exposure sio muhimu!???Yesu wangu!!!!hizi degree za chupi ni hasara Kwa taifa hivi kuna kitu muhimu kama Exposure!??
 
Hatutaki ushoga
Kuna mtu kakwambia uwe shoga?! Kusema hivyo ni swwa na kusema hatutaki walemavu. Ushoga haamki mtu asubuhi na kusema anataka kuwa shoga. Ni kwa vile ni wavivu wa kusoma lakini watu wa aina hiyo walikuwepo hata nyakati za mitume wote akina Mohamad(SAW) na Yesu - Issa bin Mariam na wanasababu za kisayansi - kibaiolojia na kisaikolojia.

Kumbuka muda siyo mrefu Albino walikuwa katika jamii nyingi wakichukuliwa kama laana na hivyo kupotezwa na baadaye wakaanza kutumika katika mambo ya kishirikina. Sasa hivi watu wameelimishwa kuwa ule ni ulemavu tu na kuwa wale ni binadamu wa kawaida kama wengine na sasa wanalindwa.

Tatizo la ushoga ni watu tu kukosa elimu. Wale ni sawa na kusema ni walemavu wa ngomo and they are there to live as human beings. Nawazungumzia hao kama binadamu. Katika ulimwengu wa sasa hutakiwi kushabikia mambo bila kujielimisha vizuri unaweza kukuta ndani ya familia yako una watu wa aina hiyo au wakatokea baadaye kama siyo wanao wakawa wajukuu zako. Who knows?!

Cha msingi ni kuwa they have the rights to life na EU hakuna mahali wamesema ushoga uruhusiwe ila wamezungumzia unyanyasaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa aina hiyo! Ukiingia kwenye ushabiki wa kushikiwa masikio hutaelewa kitu utajikuta unashangilia usilolijua. You need to go deep into the books other wise utajikuta ndani ya choo cha kike bila kujua. Just a polite advice!
 
Tunapishana na mambo muhimu
Kuna watu akili yao iko kudeal na opposition tu

Ova
 
Back
Top Bottom