Wakuu wa nchi na watoto wao majeshini..imekaaje hii,ni uoga au?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Rwandan president Paul Kagame at the graduation ceremony of his son (right) from Westpoint Military academy, USA.



Col. Muhoozi Kainerugaba, standing with his parents



A younger Kim Jong Un sitting next to his father

Later!


Kim Jong Un, the new president of North Korea.


Ian Khama, president of Botswana.
 
Mababa walipata urais wakiwa jeshini. They're grooming their children to take over
 
Hapa Tanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (toleo la 2005) Ibara ya 29 (3) inatamka wazi kwamba 'Raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano hatakuwa na haki, hadhi au cheo maalumu kwa misingi ya nasaba, jadi au urithi wake.

Hata hiyo tunaona katiba inavyokiukwa kwa kuandaa mazingira ya wagombea fulani fulani kupita bila kupingwa kwasababu tu ni watoto, wake na ndugu wa vigogo.
 
JK sio mwanajeshi kamili, bali ni mwanasiasa aliyevishwa magwanda kuhubiri siasa jeshini
 
Hapa Tanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (toleo la 2005) Ibara ya 29 (3) inatamka wazi kwamba 'Raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano hatakuwa na haki, hadhi au cheo maalumu kwa misingi ya nasaba, jadi au urithi wake.

Mkuu Wamarekani ndo wanafanya huo mchezo. Kagame na Museveni ni vibaraka wa US. Watoto wapo stand-by baba atajiongezea muhula wa uraisi usiokubalika kikatiba, mkibisha mtoto anaingia mwituni kumwondoa rais aliyechaguliwa na wananchi

Just a thought
 
lakini naona dalili zinakaribia hata Tanzania maana kumuweka waziri waulinzi mtoto wa Mwinyi ilikuwa ni ishara tosha kwa mtu mwenye upeo na maono ya mbali
 
Huyo mtoto wa Mu7 ameshakuwa Kanali duh kweli sky is the limit! sasa si hadi maboi wake wanamuogopa huko jeshini?
 
Back
Top Bottom