Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,747
Tunajichanganya sana. Walipoteuliwa wanajeshi nafasi hizo na kuhoji tuliambiwa sio wanasiasa bali ni watumishi wa umma yaani serikali.
Leo hii ili kumlinda MTU wanasema ni wanasiasa. Katiba yetu inakataza askari kuwa mwanasiasa lakini sasa hivi tutakuwa na maluteni mpaka ma meja jenerali tena wako kwenye unifomu wakiwa wanasiasa.
Hii imekaaje? Katiba inavunjwa na sie kimya tuu!