#COVID19 Wakuu wa Mikoa na Wilaya, toeni tamko moja kuhusu COVID-19

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,253
6,889
Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi.

Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya.

Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi.

Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi.

Tunaomba mjipange then mje na tamko moja. Tumeshawachoka!
 
Wanajaribu kuotea tu, hawajui mama yao anawaza nini…. mihadhara ya katiba ndiyo imepelekea haya.
 
Back
Top Bottom