Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika.
Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.
Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi kufanya maandamano bila idhini yake vinginevyo magari ya washa washa yatahusika na virungu vya police 👮♀️ bila kusahahu kesi zitahusika sana huku watuhumiwa wakibandikwa makosa makubwa yasiyo na dhamana.
Tanzania ipo mikoa 31, ni haki na wajibu Wakuu wa Mikoa mingine kuiga maarifa, nidhamu na ubunifu wa Mheshimiwa Chalamila.
Ikumbukwe ni huyu huyu Mheshimiwa Chalamila aliyetuambia kuna wanasiasa wana kwenda nje kwaajili ya kusaka fedha za kugombea Urais.
Hongera sana Chalamila unaupiga mwingi.