Wakuu wa Mikoa jifunzeni kwa Anthony Mtaka wa Dodoma jinsi ya kufanya motisha kuinua elimu

unawaleta watu saa tatu asubuhi hata chai hamna alafu unawapa chakula saa 12 jion...! walimu wa jana poleni sana.....hamkuwa na hadhi ya kulipwa 5000 au 10000 na nauli mjitegemee ambazo zinazid zaid ya hiyo fedha aliyotoa...
Hapakuwa hata Vyeti? ni Elfu tano tu? Na je ilikuwa ni lazima?? Kama sio lazima wahusika wangejipima umuhimu wa kwenda vs kutokwenda waamue wenyewe.
To me sioni Kosa la Mtaka, Elfu 5 aliyotoa ni kwaa ajili ya Ufaulu na sio Nauli, kama aliwaahidi nauli that is another case ambayo kimsingi atakuwa hajawatendea vizuri.

NOTE: Mtu anatoka Karagwe anaenda UDSM kwenye mahafali ya Degree yake ya kwanza na anaambulia cheti tu (karatasi) huku akiwa katumia Nauli, Malazi Njiani, chakula na wakati mwingine anaenda na wazazi au ndugu; ila huwa haina shida;
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom