Wakuu wa Chit Chat,nipokeeni Mrembo wa Kinyakyusa!!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.
 
karibu sana... ID yako nyngne ambayo ulikuwa unaitumia inaitwaje?.
Jiandae kukaguliwa. Mkaguzi wa zamu ni mimi.
 
Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.

Ulikuwa Guest house gani?
 
upo single...duh upo pande zipi hapa tz nikutafute nione kama kunauwezekano wakula gud tym pamoja
 
Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.

Mbona umesema uko single afu huko guest ulikuwa na nani!!?? ndagha fijho Marry Hunbig , tulipo, linga ukajha nu nndume nndipo une!!
 
Last edited by a moderator:
Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.

ukute we dume....#kidding
 
Back
Top Bottom