Wakuu Vipi Nasubiri Mrejesho mlioagiza vitu kwa kelvin Issaya na mimi niagize.

mockers

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
12,806
35,229
Wakuu Salam.
Nimekaa naona niulize mrejesho wa biashara ya kelvin issaya naona mmepiga kimya , toeni mrejesho ili na wengine tuagize bidhaa huko china na ulaya.
 
Nahisi sikuliwa peke yangu.. Sitakuja kuwepo kwenye list ya wajinga.. Unalizwa je mtandaoni???
 
Nilihisi ujanja ujanja pale alipotangaza Nikon 3200 kwa Laki nne na nusu! ilibidi nipite mbali vtu vingi alivipunguza bei kuvutia wakupigwa na unalipa nusu...
 
Back
Top Bottom