Wakuu vipi kuhusu hizi simu za Santin

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
Katika pitapita zangu kule kijijini kwetu AliExpress nikaona simu za aina tajwa hapo juu, je kuna yeyote anayejua uhalisia wa hiyo simu maana naona specs zake si mbaya kwa watumiaji wa vipato vya kawaida.

Sent from my cupboard using mug
 
Ungeweka link ya mojawapo. Simu za kichina kama hizi zipo nyingi sana kwa majina tofauti. Cha muhimu kusoma reviews za watu wasiwe wameweka specs za uongo. Pia ukiona bei iko chini sana na ina specs kubwa kubwa ujue kuna walakini.....
 
Usijaribu kununua hiyo simu...on paper iko vizuri sana lakini on hand hamna kitu one of the worst choices nilizowahi kufanya ni kununua hiyo simu..inachemka kama jagi la umeme
 
Simu zisizokua na majina ya kueleweka hasa za kichina achana nazo ndugu.
 
Usijaribu kununua hiyo simu...on paper iko vizuri sana lakini on hand hamna kitu one of the worst choices nilizowahi kufanya ni kununua hiyo simu..inachemka kama jagi la umeme
Unaona sasa kumbe vimeo tu.

Sent from my cupboard using mug
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom