Wakuu vifurushi kwenye mtandao wa Azam vimekaaje?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake.

Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable.

Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom