Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Wale wataalam tujuzane keyboard bas kwa smartphone
Go keyboard haijawahi kuniangusha hata siku moja.....Wale wataalam tujuzane keyboard bas kwa smartphone
HiYo simu itazima mkuu .Atakagi app za ajabuWale wataalam tujuzane keyboard bas kwa smartphone
ntaitafuta ni jaribuWote hamjui keyboard. keyboard nzuri ni Began keyboard pro.
Chukua Google keyboard ndo baba laoWale wataalam tujuzane keyboard bas kwa smartphone
SwiftKey Pia ina support ya kiswahili, na unaweza ku set lugha zaidi ya moja itumike. Hivyo Inakuwa rahisi kujua neno gani unaandika.Mimi natumia hii Microsoft SwiftKey Beta..
Baada ya kuhama kutoka kutumia Go Keyboard
Uzuri wa hii keyboard inatunza kumbukumbu ya yote ninayotype kwa lugha yoyote, So napokua natype maneno yanakuja tu na click hata siandiki ni kama inajua nini naenda kukiandika (SwiftKey uses artificial intelligence (AI) and neural network technologies to enable next-word prediction) na ina ma features mengine mengi... View attachment 1720071
Kabisa Chief! Asante kwa kukumbushia hili..SwiftKey Pia ina support ya kiswahili, na unaweza ku set lugha zaidi ya moja itumike. Hivyo Inakuwa rahisi kujua neno gani unaandika.