Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Habari wana jamvi kama heading hapo juu ilivyo tupeane plan mkongwe kakata ruzuku gafla mno.
Ndugu zangu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24 cjabahatika kusoma sana ila nna diploma ya sheria na kwa sasa nafanya dgree ya sheria open university shukran za kipekee zimwendee uncle angu ambaye amechangia kwa kiasi kikubwa sana
Mwaka 2009 nilmaliza kidato cha nne kwa bahati mbaya sana nilipata division three ya 24 kwa kupata B mbili na D zote kwa iyo ckuweza kuendelea na advanced level.
Mwaka 2010 niltoka kwetu ishanabulandi kwa bibi yangu aliyekua akinisomesha na kuja mjin kwa uncle angu nikaa mtaani zaidi ya mwaka napiga kazi ngumu . Mwaka 2012 nikapata admission chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto nikaenda kwa msaada wa uncle nikafanya certificate in law nikamaliza. Baada ya apo mkongwe akanambia hana uwezo wa kunisomesha niploma ila nikipata nusu nusu atachangia nusu.
Mwanaume nikaingia mzigoni Mungu si athuman nikapata iyo nusu ya semister ya kwanza mkongwe kama kawaida bila kinyongo akakunjua nusu nyingine nikaenda kupiga diploma kila nilpokua likizo nikawa natafta nusu na mkongwe ananitaftia nusu diplona nikaua.
Baada ya diploma mkongwe akanambia sasa msaada wake umeishia apo nikashukuru kwa saport yake maana kanibeba si mchezo . Nikafanya aplication ya university nikapewe open university ambayo ndo lilikua chaguo langu la kwanza Mungu alivyo mwema nikapata ada ya semister ya kwanza.
Ila tabu zaidi mkongwe mwezi uliopita katofautiana na mama watoto akidai hajitumi amekua mzigo ameamua kuwapeleka madogo wote boding school isipokua mtoto wake mkubwa wa kiume ambaye anasoma veta age yake 22 kasema na kaamua kusitisha huduma zote za msingi nyumban.
Ndugu zangu nipen plan nipo tiyar kufanya kazi yoyote ya kuniingizia kipato ntashukuru kwa ushauri wenu matusi hayaruhusiwi