Wakuu tupeane mishe

Raj kapool

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
628
1,000
Mi ni kijana 23 mzaliwa wa tabora now nipo mwanza elimu yangu niliishia form 3 but ninaulelewa wa kutosha
Nachohitaji hapa ni kazi tena sio ya lele mama ni kazi kweli maana sihitaji hela ya kula nataka hela kuweza kujenga na kuanzisha familia yenye maisha bora sipo professional kwenye makazi ya ofisini mi professional yangu ni kazi za shamba labda na kusimamia miradi au duka
Kuhusu uaminifu ondoa shaka maana mwaminifu hajisifu
Nipo tayar kwenda popote nchi yotote sababu nipo Mimi m1 tu sina baba sina mama sina mke wala mtoto kwahyo nipo free natoboa popote
Tutaftane wakuu WhatsApp me 0717732588 ndogo wenu mnipe campani sihitaji pesa nahitaji kazi tu
Shukrani


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom