Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,975
- 63,988
Mwaka 2011 gari ya mzee ilipata ajali haikua bima kubwa iliyokatwa ila tulijibiwa haiwezi kua covered kwa kua dereva hakua yeye. Na gari haikua na 'non owner liability insurance'.Una idea yoyote labda kuhusu masuala ya bima?
Nikusema buses zote za mikoani,daladala kwenye miji mbalimbali hapa home gari zote zinazoendeshwa mijini huwa zinaendeshwa na wamiliki?sasa kumbe kuna haja gani kukata bima hali yakuwa haitoi msaada chombo kikipata tatizo kikiwa nje ya mikono yako?...hey mimi nakushauri kitu hujui kukaa kimya siyo dhambi.
So since then. Mimi najua hivyo. Haya maneno yako ya jikoni sioni yanatokea wapi.