Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

Mwaka jana yule mzee Mahimbo aliongea kwenye mjadala wa katiba kuwa CCM itakufa kabla yeye hajafa, wiki moja baada yakusema hayo akagongwa na gari na kufariki !
 
Ajali ya kawaida ipoje,mkuu?Namba 6 aliugua,aliugua nini,mbona mnatoa taarifa nusu nusu? Pale namba 4,inadhihirisha wazi kuwa watendaji wenu wasivyo makini.
Mkuu ajali ya kawaida ni kama hizi ambazo huua watanzania kwenye mabasi na malori.
Namba 6 aligua maradhi na akalazwa hospitali. Siwezi kujua aliugua nini (ugonjwa wa mtu anaujua mwenyewe) na ni kinyume cha haki ya faragha ya mtu mtu mwingine kusema ugonjwa wa mtu mwingine.
Mkuu namba 4: Mistaken identity ipo mahala pengi hata kwenye vita utasikia kitu inaitwa friendly fire. Hapo kwenye watendaji wenu si sahihi ni watendaji wetu, kama wewe ni Mtanzania.
 
Mwaka jana yule mzee Mahimbo aliongea kwenye mjadala wa katiba kuwa CCM itakufa kabla yeye hajafa, wiki moja baada yakusema hayo akagongwa na gari na kufariki !
Alisema CCM itakufa kabla yeye hajafa, akagongwa na gari kwenye ajali ya kawaida akafariki dunia.
 
NAAM, TUENDELEE KUKUMBUSHANA ZAIDI

1. Dr Omar Ali Juma (Makamu wa Rais Muungano - usingizini usiku) ?
2. Prof Haroub Othman (UDSM mara baada ya kuhudhuria hafla) ?

3. Prof Chachage (UDSM - aliporudi toka kwenye utafiti Kibaha) ?
4. Okemo (gazeti la the East African - kule Kimara)

5. Sheikh Gorogosi (Mikoa ya Kusini / ndani ya wiki moja na Prof Othman)
6. Malecela Junior (Purukshani na Nchimbi UVCCM)

7. Prof Mwaikusa (Kesi ya Kikatiba kuhusu mgombea binafsi)
8. .........

8. SHEIKH ABEID AMANI KARUME ( FADE UP WITH MUUNGANO, AZIMIO LA ARUSHA).

9. CHACHA ZAKAYO WANGWE. (Rising star in the opposition family)

 
acha uongo,Gilman amezikwa Bugurun malapa pamoja na ndugu zake,hayo ya Ngala umeyatoa wapi?

Haswa, haya makaburi hata mimi nimeyaona pale Buguruni; ni kweli yamejengewa vizuri lakini yapo Buguruni DSM.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi kweli AC naye alikuwa na nini cha kuwafanya wamuondoe kama mnavyotaka tuamini??

Kitendo cha kutangaza wazi kuwa hana uruma na wauza madawa na yuko tayari kuhakikisha wanatiwa nguvuni hata kama mme wake atabainika nahusika hukumu iwe hiyo akaja kufa siku ya kupambana na madawa ya kulevya dunian kilicha maswali mengi kuliko majibu
 
Balali mzima kabisa wala hajafariki dunia msidanganywe wakuu, fuatilieni mkasa wa Marehemu profesa mmoja wa UDSM aliyemwona sehemu moja hapa hapa duniani kisha akampa taarifa rafiki yake alokuwa akifanya kazi TISS ni yapi yalomkuta!!!!!

sio uyo profes (mwakyusa) pekee watu wengi wamedead kisa wamemuona,halafu haki gani aliyopigania zaidi ya kutuibia,ngoja afe ukweli cjui ataingilia mipaka gan
 
1.Sokoine - Ajali baada ya kugongwa na Dumisan Dube
2.Kolimba - Mshituko wa moyo - CCM haina vision kumbe ina vision
3.Malima - Mshituko wa Moyo - Baada ya kugundua kwamba NRA haina uwezo wa kumwingiza ikulu
4.Kombe - Mistaken identity baada ya kufananishwa na white
5.Nyerere - Aliugua Leukemia na kila mtu analijua hili
6.Chifupa - Aliugua
7.Salome - Ajali ya kawaida huko Njombe

Nicas Mahinda je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom