Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

[/COLOR]

Huyu ngoma ilmwondoa, enzi hizo unyanyapaa ulikuwa wa hali ya juu, watanzania wlikuwa hawafi kihivyo bali walikuwa wanakufa kwa TB, Typhod, kansa, matizo ya figo n.k Huyu mzee Rutihinda walisema alikufa kwa kansa ya kongosho au kiswahili kingine ni wengu au Pancreas ukipenda hii ni mafuta fulani chini ya tumbo. Kaburi lake liko mjini Ngala limejengewa pamoja na nduguze watatu mmoja nai mtoto wake Alex. Mkaburi hayo yalivyotengenezwa mwanangu ni kivutio cha watalii.

acha uongo,Gilman amezikwa Bugurun malapa pamoja na ndugu zake,hayo ya Ngala umeyatoa wapi?
 
Gen. Imrani kombe hakuuliwa kwa makosa.... aliuawa baada ya kutofautiana na Rais mkapa. Yeye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Alipoachishwa na kuulizwa apewe kazi gani alimjibu mkapa kwamba apewe muda afikirie.

Hapo ndo wakati mrema alikuwa akipata siri nyingi sana kutoka ikulu, then Kombe alihusishwa na kuvuja siri za ikulu na hapo ndo iliamriwa auawe.

Kuna thread humu ndani inaongelea mauaji ya imrani kombe na rais kagame,kwamba aliuawa ili kuficha chanzo cha kulipuliwa ndege iliyokuwa imembeba Marehemu rais Habyabirimana wa rwanda.
 
Balali mzima kabisa wala hajafariki dunia msidanganywe wakuu, fuatilieni mkasa wa Marehemu profesa mmoja wa UDSM aliyemwona sehemu moja hapa hapa duniani kisha akampa taarifa rafiki yake alokuwa akifanya kazi TISS ni yapi yalomkuta!!!!!
 
Wako pale Mtaa wa Ohio pamoja na maeneo ya jirani sana na jengo lile la 50 Milambo wakiwa tayari kabisa kwa kazi hii wakiwa na tool-box / pima joto au kipochi kwapani usiku kucha huku wakiwa nusu uchi wa mnyama.

Wahanga wa Ukimwi wapo wapi hapa Tanzania?
 
Mkuu,

Hivi Rutihinda hakuzikwa Buguruni?

Kuna simulizi kuwa kaburi lake lilifukuliwa vibaka wakamvua gold alizozikwa nazo. Ama si huyu?
Ah! ulikuwa wapi mkuu?ni muda mrefu sana ulikuwa kimya! Kuhusu Rutihinda ni kweli alizikwa Buguruni na sio Ngara kama huyo mzushi alivyo bwabwaja hapa.
 
Gibons Mwaikambo aligonga ukuta Maeneo ya Palm Beach mwaka 1995 siku 1 kabla ya kutangaza kwenda Upinzani.
Ebwana eeh! Umenikumbusha Aligonga Ukuta wa Ubalozi wa Burundi Nililiona lile Gari pale likiwa Nyang'a nyang'a walisema alikuwa kalewa huku akiendesha Land Cluiser (Shangingi) nadhani alikuwa anaelekea kwa Rafiki yake Kipenzi Abdallah Ngororo..Namkumbuka Mwanawe Eddy tulikuwa tunamuita Head Kichwa lol atakuwa Jibaba siku hizi yule Dogo alikuwa anapendwa sana na Baba yake...

Sikujua hizo story za kutengenezewa Kifo.. Ukuta wa Ubalozi ulichukua zaidi kama sikosei mwaka na zaidi kujengwa vizuri nakumbuka tulikuwa tunaona kama historia vile jinsi palivyo bomoka
 
Kuna watu wengi waliperish sababu tu walikuwa na mawazo tofauti na watawala(hasa mtawala yule wanayetaka awe mtakatifu) na wengine walikimbia nchi kunusuru maisha yao. Achana na hawa wezi kina balali(tena ondoa jina lake pale juu). Wakati ule UWT ilikuwa na makali mara mia zaidi ya haya! Tumkumbuke pia mwandishi mahiri marehemu mzee Stan Katabaro(R.I.P) huyu hakuwa na mambo ya kupokea bahasha kama waandishi njaa wetu na mwingine ni aliyewahi kuwa mbunge wa kigoma mjini marehemu mzee Rajab Omar Mbano(R.I.P) . MBOPO sijui yuko wapi siku hiz angetusaidia kuwaelezea
 
Dr. omary juma(aliyekua makam wa rais)inasemekana kuna gari lilipeleka silaha kongo kumbe kukiwa na mihuri yake ya makam wa rais kumbe ilikua miradi ya aliyekua mkuu wa majeshi kipindi hicho mboma kama sikosei ss kichwa kilimuuma kwa mawazo maana alikua anatakiwa ajibu kwa mkapa kupiga mihuri ile shehene ya silaha kuwa imetoka serikali ya bongo kumbe biashara ya watu,mawazo ndo yalimtoa uhai
 
[/COLOR]

Huyu ngoma ilmwondoa, enzi hizo unyanyapaa ulikuwa wa hali ya juu, watanzania wlikuwa hawafi kihivyo bali walikuwa wanakufa kwa TB, Typhod, kansa, matizo ya figo n.k Huyu mzee Rutihinda walisema alikufa kwa kansa ya kongosho au kiswahili kingine ni wengu au Pancreas ukipenda hii ni mafuta fulani chini ya tumbo. Kaburi lake liko mjini Ngala limejengewa pamoja na nduguze watatu mmoja nai mtoto wake Alex. Mkaburi hayo yalivyotengenezwa mwanangu ni kivutio cha watalii.[
mkuu correction kidogo,rutihinda alizikwa makaburi ya buguruni tena na baadhi ya ndugu zake,makaburi yao yamezungushiwa uzio na sio kwamba alizikwa ngara
 
Gen. Imrani kombe hakuuliwa kwa makosa.... aliuawa baada ya kutofautiana na Rais mkapa. Yeye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Alipoachishwa na kuulizwa apewe kazi gani alimjibu mkapa kwamba apewe muda afikirie.

Hapo ndo wakati mrema alikuwa akipata siri nyingi sana kutoka ikulu, then Kombe alihusishwa na kuvuja siri za ikulu na hapo ndo iliamriwa auawe.

hao ndio ccm wauaji
 
Dr. omary juma(aliyekua makam wa rais)inasemekana kuna gari lilipeleka silaha kongo kumbe kukiwa na mihuri yake ya makam wa rais kumbe ilikua miradi ya aliyekua mkuu wa majeshi kipindi hicho mboma kama sikosei ss kichwa kilimuuma kwa mawazo maana alikua anatakiwa ajibu kwa mkapa kupiga mihuri ile shehene ya silaha kuwa imetoka serikali ya bongo kumbe biashara ya watu,mawazo ndo yalimtoa uhai

i think atakua amekufa kwa issue nyingine coz kwa utawala ule wa mkapa kwa kulindana tu asingekua na stress kama hizo
 
Gen. Imrani kombe hakuuliwa kwa makosa.... aliuawa baada ya kutofautiana na Rais mkapa. Yeye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Alipoachishwa na kuulizwa apewe kazi gani alimjibu mkapa kwamba apewe muda afikirie.

Hapo ndo wakati mrema alikuwa akipata siri nyingi sana kutoka ikulu, then Kombe alihusishwa na kuvuja siri za ikulu na hapo ndo iliamriwa auawe.

Kuna watu hawataki kuambiwa hivyo. Na ukweli kwao lazima waupindishe tu!!!!!
 
Kifo kwa wabongo hakikosi sababu!Wengine wana upungufu wa kinga miilini kwao,lakini tunasingizia wametupiwa majuju,au wamepewa vyumu!nobody can proove these allegations!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom