Wakuu tukiwa wasomi, nini tatizo la kujiajiri hapa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu tukiwa wasomi, nini tatizo la kujiajiri hapa Tanzania?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by IPILIMO, Oct 13, 2012.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  wakuu, mimi nina BA Econ. na namalizia Masters ya CED (community economic development)hufanya shughuli zangu binafsi kama Independent Development Consultant-Resource Mobilisation, management and project write-ups.
  Niliamua kuanza kazi hizi japo ni ngumu, being pressurized na job market situation!! sasa nimeamua kuwa na ofisi kabisa ili clients wangu-individuals, NGOs, CBOs, Churches, district councils, schools etc. Napigana kuona naweza kudeliver good services. Ili kufanikisha hili, naona ni lazima kuboresha elimu yangu, si kuingia tena shule BALI kusoma sana various sources of knowledge;books, journals, researches n.k Wadau mniunge mkono!
   
 2. k

  kichwaones JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...............haswa
   
 3. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tukuunge mkono kivipi? Na sisi tujiajiri kama wewe, tukupe mchango au unamaanisha nini unaposema tukuunge mkono? Hongera anyway....
   
 4. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Sawa tunakuunga mkono.
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  utafanikiwa bila shaka coz wengi waliothubutu wamefanikiwa.
   
 6. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Yeah, namaanisha kama kisomo chako kinaruhusu kujiajiri, Try 2 Do it meen!!! na pia kama mwanaJF mwenzenu mwenye such potential U can tell other people who are in need of such service! hapo vipi?
   
Loading...