Wakuu,talaka huandikwa hivi?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
267,547
1,091,917
IMG_20181206_173938.jpg
 
tena kamfanyia ustaarabu kweli kweli... alitakiwa aandikie kwenye toilet paper
 
Hiyo inahesabika ni moja tu.

Labda angesema

Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)

Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)

Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)

Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
 
Hiyo inahesabika ni moja tu.

Labda angesema

Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)

Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)

Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)

Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
Bora umeandika mkuu,mijitu mingi hukurupuka KAMA HUYO
 
Duu hii talaka kiboko yaani anaandika 3 kabisa
Kweli kuna watu wanaamini talaka hutolewa hivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom