Nilisikia sikia sikuiona hiyo talaka .nadhani aliandika haraka haraka mradi ujumbe umefikaNdio ya insta,Duh kumbe ni ubuyu. Kwan kanyau hana hela ya kununulia karatasi zuri jaman
Haijaswiikh hiyo ARUDI AKAJITAFAKARINi hivyo hivyo mkuu,kama amekupa ndiyo imeswihi ,rara mbereee huna eda.
Njoo utoe darsa Abuu DharrKwanza tujiulize
Talaka ni nini?!
Haijaswiikh hiyo ARUDI AKAJITAFAKARI
Bora umeandika mkuu,mijitu mingi hukurupuka KAMA HUYOHiyo inahesabika ni moja tu.
Labda angesema
Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)
Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)
Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)
Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
Kumbe ndo Wewe hujui hata namna ya talaka mkuuduuuuuh yani talaka niliyompa yule mwanamke imeshafika huku
Wanazingua sana washkaji.kila kitu na taratibu zake.Bora umeandika mkuu,mijitu mingi hukurupuka KAMA HUYO
Ni kweli kabisa MkuuWanazingua sana washkaji.kila kitu na taratibu zake.
Familia za Sasa zina makwazo mengi..unaoa kwa kujaribu, unaacha kwa kujaribu.Haijaswiikh hiyo ARUDI AKAJITAFAKARI