Wakuu process za kufungua Bank akaunti?

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Nataka kujiunga na Hii bank ya crdb lakini nia yangu ni Master au visa kadi kwa ajili ya online transaction nianzie wap? mana nimeperuzi na kukuta lazima cjui uwe na wadhamini wawili wenye akaunti mara sijui barua ya mtendaji sasa mimi nahitaji chap je itawezekana bila ivo?
 
Wafuate Bank, wao watakuelekeza
Manaa inaonekana unataka ufanye shortcut
 
Taratibu za kufungua Bank account CRDB.

Lazima uwe na vitu hivi vinne.
1.Passport size mbili -2 by 2 Background nyeupe,Waambie wapiga picha za CRDB wataelewa.
2.Kifungulio Account buku 20,hii inategemea na branch ukienda branch nyingine kifungulio laki 1.
3.Kitambulisho Cha kupigia kura au Leseni au Passport.
4.Barua ya serikali za Mtaa au unaweza ukachukua introduction letter ya kufungua account kutoka Kazini unapofanya kazi.
 
Asante mkuu na inachukua muda gan mpaka mchakato kuisha na kupewa kadi? na je ntapata visa au master card?
 
Nenda Equity Bank, utahitaji kitambulisho chako tu na baada ya kama dk 10 watakuwa wameshakufungilia Account yako, pamoja na kadi ya visa ambayo unaweza kuanza kulipia vitu online.

hawana longo longo za barua ya mtendaji, picha etc.

just drop katika branch yoyote ya equity bank and in 10 min utakuwa na account yako.
 
Nataka kujiunga na Hii bank ya crdb lakini nia yangu ni Master au visa kadi kwa ajili ya online transaction nianzie wap? mana nimeperuzi na kukuta lazima cjui uwe na wadhamini wawili wenye akaunti mara sijui barua ya mtendaji sasa mimi nahitaji chap je itawezekana bila ivo?
Nenda Nmb wao mahitaji yao ni barua kutoka kwa mtendaji wa kijiji/kata au mwajili kama umeajiliwa,passport mbili,elf kumi na tano ya kufungukia a/c,upatikanaji wa kadi inategemea upo mkoa gan ila kwa dar mie ilinichukua week,faida za nmb ni gharama ndogo ktk kuendesha master card,pia wao wana aina tatu nazo ni standard,titanium na worldreward sana utachagua ipi kutokana na mahitaji yako ya manunuzi online
 
Nenda Equity Bank, utahitaji kitambulisho chako tu na baada ya kama dk 10 watakuwa wameshakufungilia Account yako, pamoja na kadi ya visa ambayo unaweza kuanza kulipia vitu online.

hawana longo longo za barua ya mtendaji, picha etc.

just drop katika branch yoyote ya equity bank and in 10 min utakuwa na account yako.
Asante sana kiongozi
 
k

dis advantage ya kufungua akaunti bila barua ni kwamba ukizid transaction zaid ya milion tano utaambiwa ukalete barua ili uwe kyc compliant as per aml law,so hyo ni solution ya muda mfup
Hamna kitu kama hicho, wana fingerprint machine kwenye branch zao, so ukiwa unafungua account wanachukua fingerprint zako. that's why hawahitaji haya "mabarua" ya mtendaji na ukiritimba mwingne. kwa mfano hata bdala ya kumwambia mteja aje na picha, Equity Bank wanacamera zao ndani ya branches.

mkuu kama kitu haukifahamu kwa undani bora kunyamaza kuliko kupotosha watu.
 
Mrejesho nimefanikiwa crdb na nimepatq debit card ya Visa nimejaza na fomu ya kurequest onlinen purchasing ivo nasubiri Verification code ni link Akaunti yangu na Paypal asanteni wadau
 
Nataka kujiunga na Hii bank ya crdb lakini nia yangu ni Master au visa kadi kwa ajili ya online transaction nianzie wap? mana nimeperuzi na kukuta lazima cjui uwe na wadhamini wawili wenye akaunti mara sijui barua ya mtendaji sasa mimi nahitaji chap je itawezekana bila ivo?

No shortcut, hivyo ndio vigezo vyao, fuata taratibu bro
 
Mrejesho nimefanikiwa crdb na nimepatq debit card ya Visa nimejaza na fomu ya kurequest onlinen purchasing ivo nasubiri Verification code ni link Akaunti yangu na Paypal asanteni wadau
mkuu kujiunga na crdb ulilipa sh ngp?
unapaswa uwe na paspot na barua?
jee gharama za kujaza fomu ya kuruhusu online transaction jee
 
gharrama za kujiunga ni shilingi ngapi maana nataka nikisha jiunga na crdb niwe na uwezo wa kufanya online transaction
 
Nataka kujiunga na Hii bank ya crdb lakini nia yangu ni Master au visa kadi kwa ajili ya online transaction nianzie wap? mana nimeperuzi na kukuta lazima cjui uwe na wadhamini wawili wenye akaunti mara sijui barua ya mtendaji sasa mimi nahitaji chap je itawezekana bila ivo?
Fuata taratibu ndio hizo, unataka chap una mzigo wa cocaine kununua china? Short cut is always a wrong path!
 
Back
Top Bottom