Wakuu nisaidieni formula hii ya Excel

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
1624386201932.png

1624386181829.png
 
Hakuna formula bro,

Table yako inatakiwa iwe na columns za kidato na jina
Mfano

Kidato. Jina
1. Amina
1. Asha
3. Asia
2. Juma
2. Ali
1. Hamis

Then unatumia pivot table mchezo umeisha...
 
Hakuna formula bro,

Table yako inatakiwa iwe na columns za kidato na jina
Mfano

Kidato. Jina
1. Amina
1. Asha
3. Asia
2. Juma
2. Ali
1. Hamis

Then unatumia pivot table mchezo umeisha...
cheki kazi hii, mfano nataka ku filter comments zenye likes nyingi, nikizifilter replies sizioni yani
 
Attachments

  • lissa rapcha comments.xlsx
    373.6 KB · Views: 14
Bro mbona rahisi sana na iko straight forward!, Kama unataka ku filter likes nyingi let's say laikes zaidi ya 5, you jut customize the filer kwenye filed ta likes iwe grater than 5 basi, table yote itakaua yenyr comments zenye likes zaidi ya 5...
 
Nimeshindwa ndio mana nmeweka faili mkuu, naomba unisaidie then uweke hilo file humu

Toa mchango acha porojo
 
Hapo hapo kigezo ni replies, sasa si kila comments zenye likes nyingi zina replies, hivyo ukitaka kigezo cha likes unaweza kuongeza hiyo criteria kwenye likes, ili uone
 
Mdau, sidhani kama kuna formula ya filtration
Hapo hapo kigezo ni replies, sasa si kila comments zenye likes nyingi zina replies, hivyo ukitaka kigezo cha likes unaweza kuongeza hiyo criteria kwenye likes, ili uone
Mkuu, asante angalau umejitahidi , ilibidi niulize kwa wa hindi naona wamenipa formula na inafanya kazi fresh

kwenye E2 unaweka hii formula =IF(D2="",E1-1,D2*100) ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom