Wakuu nisaidieni daah nakufa mwenzenu

Wakuu daah kuna mdada nampenda sana yaani aisee

niliyopata huyu naona ndo ananifaa yaani nioe jamani

Shida inakuja kwamba dah hivi wanawake mnapendaga nini mnapotongozwa ...

Na mamen wenzangu mnatumia technique gani daah ...!!!

Yaani huyu kama ni hela kwao wana hela na ni mtoto wa kigogo

Yaani wakuu mi nakufa kwa huyu mtoto yaan swaga sina kabisa nisaidien

Atakayefanikiwa kunisaidia ntamwachia kibanda changu cha kuchajia chaji !!!

Please brazas and sistas
Nipe location pliz
 
njoo nikuandikie mitongozo unamfata unatoa karatasi nlokuandikia unaanza kumsomea wallahi lazima akubali , old skuli mitongozo ndo zinafanya kazi kipindi hiki😂😂😂😂
 
Ikiwa una hakika hana mtu na ametulia na una lengo la kumuoa basi fanya haya.

Kwanza hawezi kukuzimia ghafla tuu vuup,hapana lazima ichukue muda kidogo ikiwa una malengo nae.

Kumwambia mtu nakupenda ghafla ni sawa na kumuingilia mwanamke bila maandalizi yeyote.
Tanguliza romance kabla ya neno nakupenda kumwambia.

Hakikisha unagongana nae macho japo kwa sekunde kadhaa alafu hapo uhakikishe unamkodolea mimacho na ajue hasa kama umemshangaa,sio unaogopa ogopa kumwangalia.
Hiyo itamfanya siku nyingine akukumbuke kwa kile kituko chako cha kumtizama kwa makini.

Siku ingine ukimuona msalimiee mpaka ambapo atakuwa ameanza kukusalimia wewe hapo sema yeees anaanza japo kunipa salamu.

Hakikisha huombi namba za simu mapema,atakutolea nje.

Anza na romance za kujua ratiba zake ziko vipi na ni wapi unaweza kukutana nae ili iwe rahisi kupiga stori mbili tatu hakikisha zisiwe nyingi,sio unaongea wewe.dk moja mbili una muaga.

Akisha kuwa naye yuko huru kukuuliza maswali mawili matatu basi hapo vuta subra tuu usiombe namba.

Nachokimaanisha usiwe na haraka
 
Yupo canada nipo usa

Nifanyeje mkuu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom