Wakuu nisaidieni daah nakufa mwenzenu

Baba swalehe huyo mama swalehe ulimpataje ?

sikia hii wewe siku ukionana nae mwambie unampenda kisha ondoka usisubiri akujibu chochote
Dah ngumu kumeza kama betting ya fixed odds
 
Wakuu daah kuna mdada nampenda sana yaani aisee

niliyopata huyu naona ndo ananifaa yaani nioe jamani

Shida inakuja kwamba dah hivi wanawake mnapendaga nini mnapotongozwa ...

Na mamen wenzangu mnatumia technique gani daah ...!!!

Yaani huyu kama ni hela kwao wana hela na ni mtoto wa kigogo

Yaani wakuu mi nakufa kwa huyu mtoto yaan swaga sina kabisa nisaidien

Atakayefanikiwa kunisaidia ntamwachia kibanda changu cha kuchajia chaji !!!

Please brazas and sistas
Just muombe mtoke out for dinner and drinks then be gentlemen, tupia mistari , ila usijisifie sifie alafu kuwa romantic mzigo utangoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom