Wakuu nisaidieni athari za kiafya za kula denda

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,316
8,227
Wakuu habari za Leo,

Kiukweli kuna tatizo linanisumbua ambalo halijawai kunisumbua kabisa.

Nahitaji kujua kwenu ni athari zipi zaweza kumpata mtu kiafya anapopenda kula denda.
 
Athari zipo tena ni nyingi tu, inshort mdomo ni kati ya sehemu yenye wadudu wa kila aina wakiwemo bacteria, protozoa na virus ni sehemu chafu sana ndio maana mtu asipopiga mswaki hunuka harufu mbaya, magonjwa mengi huambukizwa.
 
Ndivyo ndomo wako ulivyo mkuu?
Athari zipo tena ni nyingi tu, inshort mdomo ni kati ya sehemu yenye wadudu wa kila aina wakiwemo bacteria,protozoa,na virus ,ni sehemu chafu sana ndio maana mtu asipopiga mswaki hunuka harufu mbaya,magonjwa mengi huambukizwa
 
Okay, sasa napata picha
 
Athari zipo tena ni nyingi tu, inshort mdomo ni kati ya sehemu yenye wadudu wa kila aina wakiwemo bacteria,protozoa,na virus ,ni sehemu chafu sana ndio maana mtu asipopiga mswaki hunuka harufu mbaya,magonjwa mengi huambukizwa
Pole sana.
 
Mimi napenda sana kuimba kuna sehemu nilienda nikakutana na Rafiki yangu sasa wakati namwimbia akaniambia sauti yangu inamikwaruzo na hizo siku ndio nimetoka tu kupiga madenda.

Yaani niseme tu ukweli wiki mbili zangu zote ilikua ni denda tu. Ni full kufyonzana tu ndimi kwasababu sikupenda nimpe mimba yule mtoto, ilinibidi impe tu vya ulaya.
 
Meme binafsi napenda sana kula denda hasa demu niliyempenda almost mademu wangu wife nishapiganao denda.. Me napenda denda kuliko kuzamisha
 
Mweleze mkuu hawa Watoto ni viaz hawasikii kabsaa mwenzao amuwawa huko mbeya huyo hapo View attachment 1511229
Niliwaeleza kuwa huyu binti atakua single mother. Single mothers huwa wanahasira sana kwenye mahusiano.

Mimi hayo yamenikuta ndio sababu naongea kwa ujasiri mkuu.

Ukimtizama huyo binti ni mrembo sana, mabinti wa hivyo sio rahisi kuyumbishwa kwenye mahusiano kiasi cha kutoa uhai. Na usisahau umri wake ni 19 yrs.

Mimi nilitegemea labda huyo kijana ndio aue kwasababu ya wivu wa mapenzi.

Kesi za wanawake kuua wenza wao maranyingi tunazisikia kwenye ndoa tu. Hivyo hili limekua ni jambo la kushangaza sana kwa huyu mrembo.

Inaonekana labda anaona thamani yake ilishashuka. Kama angelikuwa nayo nadhani angeswitch kwa mwanamme mwingine haraka sana
 
Hakuna athari zozote, sana sana utashiba tuu kama mwenzio kayoka kula muda si mrefu
 
Back
Top Bottom