Wakuu nisadieni jinsi ya kupata copy ya kitambulisho cha NIDA ni muhimu sana

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
nina shida sana na copy ya kitambulisho cha kwaajili ya bank akaunt nilipewa emaili ya meneja wa NIDA wa Iringa lakini maeneo ya kazi wanakwepa kutuma barua ya dharula kwa njia ya email

kuna anayeweza kunitolea copy ya kitambulisho cha nida

humu sipo sana coz simu kubwa sina

ni very serious issue viongozi msaada unahitajika
 
Mkuu ukifanikiwe tuonana please!

Au nitakutafuta,mwenyewe nina shida kubwa sana! Nahisi ukifanikiwa utakuwa msaada
 
Back
Top Bottom