Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

Mzee Kuna jicho la nyama na jicho la kiroho .

Hivyo ningependa kukusihi sio Kila hisia ni za kuzipuuza. Ila sio kwenye Kila hisia basi ufanye maamuzi.

Kama hizo hisia za wivu zinakujia ukiwa haupo lonely sio za kuzipuuza na sio za kuzichukulia maamuzi kwa kukurupuka.


Kuna hisia nyingine zinakupa tahadhari hivyo ni wajibu wako kuanza kufuatilia kimya kimya bila muhusika kujua Kama anaguatiliwa. Vijana wa sasa wengi wetu tunamihemko Kama wanawake mwanaume kuumbiwa kifua sio Cha kwenda kubebea vyuma vizito jimu.

Mimi binafsi kabla sijaoa nilikua napiga simu ila kuna simu nyingine ukikuta mtu yupo busy lazima moyo ukuume na ushikwe na wivu hapa huwa naamini katika ulimwengu wa kiroho kuwa mambo hayapo sawa kwa nn moyo uume wakati sometimes moyo hauumi hata nikute busy masaa matatu.

Kama jicho lako la kiroho ni Safi na linaona basi we jua tu huko mambo si shwari. Najua kuna mijitu italeta ujuaji hapa na kujifanya ndio imesoma Sana na vielimu vyao vinamajibu ya Kila kitu.

Lkn hili jicho la kiroho Lina majina mengi wahuni wa kitaa wanaita machale ....ndio maana utasikia machale yalinicheza.... Waganga huita mizimu....wachungaji huita roho mtakatifu. Nk

Sometimes unaweza ukawa tu officn unafanya mambo yako lkn roho yako inastuka na haituliii juu ya mpenzi wako yaani unajikuta tu inauma bila sababu za msingi we jua tu katika ulimwengu wa kiroho mambo hayapo sawa mtu ulifungamana nae huko usaliti unaendelea.


Hivyo upatapo hisia Kama hizo usikurupuke kuchukua maamuzi zifanye Kama ndio chanzo Cha kuanza kufanya utafiti ili kubaini ukweli na sio kuanza kukurupuka kuuliza au kutukana na kufoka utapoteza ushahidi hivyo bila kumstua victim wako Anza kumfuatilia taratibu ili kutafuta ushahidi ambao utaonekana katika jicho la nyama .

Mara nyingi nimekua nikifanya hivyo na nimefanikiwa Sana na sijawahi jutia.
shukrani mnoo kaka, nimepata kitu kizuri
 
Kuna mida unaweza iofia mpenzi wako akiwa busy. Mida ya saa nne usiku na kuendelea.

Mida ya asbuhi saana kabla ya saa moja. Tofauti na hapo mtu akiwa busy usitie shaka.yawezekana anaongea na ndugu zake, au mambo ya kazini. Hii ni kawaida sana.

Kwanza utambuwe kazi yake ni kupigiwa sana simu kiasi hicho?
Lakini kumuuliza mpz wako alikuwa anaongea na nani ni kawaida sana wewe muulize.kama kuna anachoficha atajikanyaga kutoa jibu.

Nb.kama mtu anakupenda na kukuheshimu lazima akupe priority. Mm napiga simu/ kupigiwa simu saana sana kwa siku naweza pigiwa /kuwapigia hata watu 30 kwa siku lakini kuna simu nikiona zinapiga lazima nikate simu kuzipokea. Na simu nyingi napokea loudspeaker.coz nyingi ni za kazi.

Fanya utafiti siku moja shinda nae uone anapigiwa na watu wa namna gani.
ushauri wa mbolea huu
 
Kati ya watu ninao waonea huruma ni wale wenye wapenzi au wachumba ila hawana access na matumizi ya simu zao.

Yaan kuna ulazima mwingi tuu wa kuchunguza mawasiliano ya mwenzi wako angalau kwa kipindi fulani ili kujua tabia yake kiundani zaidi.

Zamani enzi za mababu zetu kulikuwa na utaratibu wa kufuata kabla ya kuoa. Wazee walikuwa wanachunguza ukoo, familia na binti mwenyewe ili kujiridhisha na mambo mengi. Kama wakikuta dosari sehemu yoyote either kwenye ukoo, familia na binti basi ndoa ilikuwa haifungwi.

Je katika kipindi hiki ambacho tunakutana kimjini mjini, binti mwenyewe ilimkuta hana bikra utawezaje kumjua tabia zake?

Hata mimi nilikuwa kama wewe, yaani nilikuwa na wivu sana na nashindwa kumsoma mchumba wangu. Muda mwingi namuwazia mabaya yaani inshort nilikuwa simuamini. Na pengine insecurities zangu zilikuwa zinamboa na kumfanya awe na tabia zingine za ajabu sana.

Dawa niliyoifanya ni ku hack simu yake, yaan nina zaidi ya miaka 2 nachunguza mawasiliano yake yaan nasoma text zake zote(normal texts, whatsup texts, all social media texts) na nasikiliza simu zake zote anazopiga na kupigiwa, maweza tumia kamera yake ya mbele au ya nyuma kupiga picha nijiridhishe na mazingira aliyopo, naweza kurecord video yenye sauti ya sehemu alipo na naweza record sauti pia, naweza kuona picha zote anazopiga na kutumiwa. Yaan in short simu yake naweza ifanyia chochote nitakacho.

Kufanya hivyo vyote kumesaidia sana mahusiano yetu kuwa bomba sana maana namuamini kwa 100% maana hawezi nidanganya kwa chochote na nikibaini kama kuna jambo ovu anataka kufanya, indirect mimi namsaidia asiweze kulifanya ili kuharibu mahusiano yetu. Kwa mfano kama kuna jamaa anamtongoza, najifanya kupiga ambushi simu yake na kumpa mkwara heavy na akakiri na kujirudi. Ila kuna moves zingine naziacha ili niweze kuona anareact vp kwa hizo situations ambazo pia na mimi zinanifunza kujua msimamo wake uko vip kwangu.

Kuwa na access ya privacy za mchumba wako inaitaji moyo na uwe na extra mind ili asigundue kama unamfanyia huo mchezo mchafu.

Faida yake nyingine ukiwa na access ya privacy Ni amani ya Moyo pia kuwa na uhakika wa mahusiano yenu kama yapo serious au Mnatumiana. Pia unajiepusha na magonjwa kama ukigundua anakucheat unamtema fasta. All in all inasaidia kujua strength na weakness za mwenza wako kabla hujacomit.

Aksante
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom