Elections 2010 wakuu nini mtazamo wenu juu ya matokeo zenji?

mishemishe

Member
Nov 1, 2010
28
2
kwa mtazamo wa kawaida nadhani seif kakubali tu kwa sababu shein ni mpemba mwenziwe sijui wadau mnasemaje? maana naona mchakachuo wa kipindi hiki umefanyika kiintelijensia sana na katika chaguzi zote huwa jamaa hushinda na anagomea matokeo
napenda kumpa pongezi Seif maana pia hatma ya amani ya visiwani ilikuwa mikononi mwake
ila ni kondooo aliyeamua kujitoa sadaka ili wengine wapone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom