WAKUU NINA SAMSUNG S5 HAINA PLAYSTORE .

Hilo ni tatizo jengine mkuu, hio ni separate app unatakiwa uwe nayo.

Umejaribu kusearch kwenye store inayokuja na hio xiaomi neno "Google installer"
Kama hivi?
Screenshot_2019-03-24-19-47-06-736_com.xiaomi.market.jpeg
Screenshot_2019-03-24-19-47-18-320_com.xiaomi.market.jpeg

Sent using My Xiaomi Redmi 4a
 
Samsung huwa wanatengeneza simu. Za tolea moja kama hizo s5 kwa region tofauti kunakuwa na Toleo ambalo ni Internetional vrsion, kuna american version (hapa kunakuwa na matoleo manne ya TMOBILE, VERIZON, SPRINT, NA AT&T). KUNA KOREAN VERSION NA CHINES VERSION

KUTOKANA CHINA KUTOKUMIA APPS ZA GOOGLE HIVYO CHINES VERSION ZOTE ZINAKUWA HAZINA PLAYSTORE WALA APP YOYOTE YA GOOGLE

WAWEZA SOLVE TATIZO LAKO KWA KUICONVERT FIRMWARE YA SIMU YaKO KWENDA INTERNATIONAL VERSION

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kwa ushauri wako ntalishughulikia nipatapo muda je nikiingiza international firmaware siyo kwamba simu itaenda na maji ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom