kirisha
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 573
- 663
Wiki kama moja niliomba msaada kuhusu ugonjwa nashukuru mlinipa ushauri na niliutendea kazi vizuri sana kwani nilienda hospitali nikapewa dawa nikaanza kutumia nashukuru Mungu nilipona ila wakati imebaki siku mbili nimalize dawa nilipatwa na tatizo jingine.
Ilikuwa majira ya jioni nameza dawa uwa natabia ya kutanguliza dawa kumeza ndiyo nifuate maji wakati nimeza dawa niliisi kama imekwama kwenye kifua nilikunywa maji mengi sasa toka siku hiyo nikimeza chochote napata maumivu makali sana naombe itakuwa natatizo nn kwasababu inanitesa sana siwezi kula chochote kwani naumwa sana msaada tafadhali.