Wakuu nifanyeje? Mke wangu ananipenda sana

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,390
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito?

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Nenda kwa mganga

Jr
 
Men bhana akili zetu ni za kwetu wenyewe, siku tusipo pendwa tanalalamika na tukipendwa tunalalamika kama mtoto wa mama wa kando

Ni wapi Umewahi kuona mwanaume analalamika kutokupendwa na Mwanamke?

Kwenye Biblia takatifu imeandikwa mwanamke amtii mume wake. Na mwanaume ampende mke wake.

The same kwenye jamii huwezi kuta mwanaume analalamika hapendwi na mwanamke. Mwanaume atalalamika tu akinyimwa Unyumba mengine yote zaidi ya unyumba ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom