CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Nina shida na fridge inayo tumia mafuta ya taa na nimetafuta kwa arusha sijapata na nilionana na yule mhindi Benson and Company anaye uza fifaa mbalimbali vya nyumbani akanieleza alikuwa nazo ila zimeisha ila niliambiwa za kwao zinatumia umeme na mafuta ya taa, so mwenye kujua zinapo patikana make ninashida nayo sana