Wakuu nawauliza swali nawaombeni mawazo yenu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
Mimi nipo nje ya Nchi Nataka nije huko Tanzania nianzishe Kampuni ya kupiga vita Mbu je Serikali itaweza kuniunga Mkono? Nawaombeni Mawazo yenu Mnasemaje kwa hilo?Asanteni sana.....
 
Tanzania hamna mbu! Labda uje nao uzalishe halafu uanze kuwaua, hapo utafanikiwa
 
Serikali haimzuii mtu kuanzisha kampuni hata kidogo, ni wewe tu na jinsi ya uelewa wako katika business unayotaka kuifanya. Serikali itaingia pale hiyo kampuni yako italeta madhara kwa wananchi basi. Nakama nikitu ambacho kitaleta manufaa kwa umma, hainashida. Kuna mzee mmoja wa ki faransa pia alikuja mwaka jana ana kampuni hiyo yakuua mbu, sijui iliendaje, kwani watu hawana sana elimu katika hilo japo mbu Tanzania ni wengi sana.
 
Hakuna silaha kubwa ya kuua kama maandamano, si unaona SIRIKALI inavyoyaogopa.
Hata hao mbu atawaua kwa maandamano tu.
Aje na hela ya kukodi waandamanaji tu.

Utawaua kwa kutumia kisu, bunduki au mabomu ya petroli?
 
Si ujiunge na akina maralia haikubaliki?
Wenzio washamchukua na mkulu wa nji, join zem kuunganisha nguvu la sivyo vihela vyako vyaweza potelea huko.

BUT, mjarisiamali, hav to see an opportunity, jump to it, take risk, know to compete na waliopo. Ni vission yako tu itakuongoza mkuu wengine we are just mosquitos singing for you to confuse you more.

Mimi nipo nje ya Nchi Nataka nije huko Tanzania nianzishe Kampuni ya kupiga vita Mbu je Serikali itaweza kuniunga Mkono? Nawaombeni Mawazo yenu Mnasemaje kwa hilo?Asanteni sana.....
 
kwa bongo huo mradi ni wa clinton,
au ra,
ila kama una mkwanja wa kuwapa wakuu,
na wewe utapata kibali,
si unajua hii ni nchi ya kitu kidogo?
na kama huamini muulize mr. two sugu.
 
MziziMkavu ebu ongea na sugu au Ruge wanaweza wakakupa mwanga coz walikua na conflict of interest kuhusu MALARIA NO MORE
 
Usife moyo njoo uangalie kwanza kitu gani kitakua bora kuliko kuuliza kila mtu atakuja na hadidhi zake utasema basi fanya utafiti wako mwenyewe kwa kuja nyumbani ...
 
Hakuna silaha kubwa ya kuua kama maandamano, si unaona SIRIKALI inavyoyaogopa.
Hata hao mbu atawaua kwa maandamano tu.
Aje na hela ya kukodi waandamanaji tu.
duh! mie sikuwa najua kuwa kumbe waandamanaji wanalipwa,mie nilikuwa nikijua kuwa ni kweli wapingaji wa kile wanachokiandamia,kumbe ni mambo ya hela? Siandamani tena katika maisha yangu bila kulipwa hela:A S embarassed:.Nalog off
 
Tanzania kuna mbu wengi sana.Kama wenye nchi wakiridhia kukupa hiyo kazi na mkapatana vizuri basi utaondoka bilionea.
 
Andaa proposal nzuri na hakikisha kuwa huyo unayempelekea proposal yako unamlipa ili aisome
Na isiwe kwenye kiingereza kigumu na isiwe na page nyingi sana
ikiwa na page nyingi sana andaa summary kidogo kumsaidia huyo msomaji wako aweze kuelewa unamaanisha nini
Ita kikao pale Diamond Jubilee kutangaza mkakati wako na uwalipe posho wale watakaohudhuria uwaandalie na maji na soda na usafiri
Then peleka documents zako pale BRELA umlipe yule atakayekufanyia search ya jina la kampuni hata kama huduma yenyewe ni bure
Kusajiliwa kwa kampuni yako kutachukua mwezi mzima
Kupata leseni ya biashara ni another issue japo ni bure
duh mpaka uje uanzishe kampuni na ianze kufanya kazi mtaji ushaishia kuhonga na kutoa posho
 
Wee kama unashamba kariakoo au ungalimited au uyole au igogoi kaandamane bure.

duh! mie sikuwa najua kuwa kumbe waandamanaji wanalipwa,mie nilikuwa nikijua kuwa ni kweli wapingaji wa kile wanachokiandamia,kumbe ni mambo ya hela? Siandamani tena katika maisha yangu bila kulipwa hela:A S embarassed:.Nalog off
 
Hapana, kuna miradi mingi ya malaria tunataka iendelee kuwepo. Utatunyima ulaji. Potezea. 28-58 Over
 
Serikali haimzuii mtu kuanzisha kampuni hata kidogo, ni wewe tu na jinsi ya uelewa wako katika business unayotaka kuifanya. Serikali itaingia pale hiyo kampuni yako italeta madhara kwa wananchi basi. Nakama nikitu ambacho kitaleta manufaa kwa umma, hainashida. Kuna mzee mmoja wa ki faransa pia alikuja mwaka jana ana kampuni hiyo yakuua mbu, sijui iliendaje, kwani watu hawana sana elimu katika hilo japo mbu Tanzania ni wengi sana.

Hizo kampuni huwa tunazuga kuziruhusu alaf baadae 2nazizibia mianya ya ku'operate mpaka wanakimbia. Watatuharibia ulaji khaa!28-58 Over
 
Inabidi uwasiliane kwanza na Ruge wa clouds fm..ka ukianzisha kampuni ya kuua mbu manake utatokomeza Malaria, so mradi wake wa Malaria No More utakuwa hauna dili tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom