wakuu nauliza swali langu nawaombeni munjibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakuu nauliza swali langu nawaombeni munjibu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MziziMkavu, Oct 31, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Swali lenyewe ni hili ( Ni nani ambaye ni mmoja hana wa pili wake)? Nawaombeni munijibu kwa ufasaha wa maneno asanteni sana.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Huh..?
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  swali halieleweki mkuu,
  fafanua kwa ufasaha zaidi.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Mungu pekee.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mungu.
   
 6. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ah Mizizi jamani, hizi quiz zako sasa,
  nmetoka kupasua kichwa kule kwenye jina katika sehemu ya mwili, mara kuna hili tena.
  Mi nangoja jibu tu toka kwako
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumekuchaaa.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu umepata Mbona leo mapema umepata?

  Hongera mkuu umepata mbona leo mapema umepata ? Swali langu halikuwa gumu?
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Ndio tunapimana akili mkuu wangu
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Mkuu sio haki bana maswali gani magumu hivo... alafu ile thread nyingine umetoa jibu ambalo natafuta njia ya ku-prove lakini ina bounce...
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Mkuu unanifurahisha mimi nilipokuwa shule miaka ya sabini niliwahi kumuliza Mwalim wangu mkuu wa shule ya msingi maswali magumu kiasi alikuwa ananishangaa na alikuwa ananiuliza wewe unayapata wapi hayo maswali? Mwalim wangu mkuu wa shule alikuwa anafundisha darasa kwetu somo la Siasa.
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  nimeamka na akili za j3.
   
Loading...