Wakuu Nauliza Swali langu naomba nipate jibu lililo sahihi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
Nauliza swali Je Ni Nani ni Mwanachama wa kwanza wa hii Forum Jamii forums tangu ianzishwe nakuombeni munipe jibu? Asanteni.....
 
MzizMkavu naaanza kutilia shaka ufikiri wako, kuna thread nimeona umepost kitendawili tega, mkuu wa jiko ni nani? Saizi tena unauliza mtu wa kwanza kujisajili ni nani? Post zote mbili hazina maana kwangu, haya mtu wa kwanza kujisajili ni mwanzilishi wa JF mwenyewe. Haya umejua imekusaidia nini? Ifikie mahali tukue.
 
hujanijibu swali nasema Mwanachama wa Kwanza sijasema muanzilishi wa Jamii forums mbona una hasira mkuu Mzee wa Rula ? Acha Munkari huo umekosea jibu langu bado nauliza swali langu swali Je Ni Nani ni Mwanachama wa kwanza wa hii Forum Jamii forums tangu ianzishwe nakuombeni munipe jibu? Asanteni.....
 
Tujenge hoja sasa, je mwanzilishi wa JF siyo mwanachama? Hebu jibu tuendelee ma mada.
 
mimi nasema mwanzilishi ni mzizimkavu.
Mzizimkavu, unapendeza kule JF Dr. na yale mambo yako ya kuboresha afya zetu.,
huku waachie akina BJ na M25.
Huku nimekuja kufurahisha moyo wangu si unajuwa Dakatari lazima apate kupumzika na maswali au kazi za hospitalini zinakuwa ni nyingi sana sasa nakuja kuchemsha bongo yangu hahahahahahahahahhh asante mkuu.

Tujenge hoja sasa, je mwanzilishi wa JF siyo mwanachama? Hebu jibu tuendelee ma mada.
kuna tofauti ya mwanachama na muanzilishi huwezi kuweka sawa Rais na Waziri Mkuu hawawezi kuwa sawa.

Swali lako halina mvuto, halinukii wala halipendezi hata lirembwe vipi.
unavyotaka liwe vipi swali langu?unataka liwe swali la matusi ndio ulione kuwa ni swali linalovutia? wewe si Ulisema wataka kutoa Siri? mbona hujaitoa hiyo siri yako?
 
hapa ndo utajua kuwa hii kweli ni chit chat, hata yasiyofikirisha yatajadiliwa tuu. kwa hiyo Raisi hawezi kuwa mwananchi (raia)? Duh! Nahisi hili neno mwanachama lina maana zaidi ya moja, otherwise mwanachama wa kwanza JF lazima ni mwanzilishi tuu huwezi kukimbia
 
Umekosea Swali gumu sana kujibika unaliona kam arahisi lakini ni Swali gumu si rahisi kujibika jaribu tena kulijibu swali langu mkuu.

Sasa mbona unanibishia aiseeee, kwani unanifahamu, au una uthibitisho gani kuwa sio mimi?? Haya we anzisha tu ligi, ila mi ndo mkongwe
 
Mzizimkavu,mimi leo napita tu na nakusalimu kwa jina la bwana,maswali yako siku zote yananitoa kijasho na mwisho wa siku sina majibu,nakutakia furahi dai njema.
 
Huku nimekuja kufurahisha moyo wangu si unajuwa Dakatari lazima apate kupumzika na maswali au kazi za hospitalini zinakuwa ni nyingi sana sasa nakuja kuchemsha bongo yangu hahahahahahahahahhh asante mkuu.

hapo sawa, ukizingatia kule jfdr hakuna warembo,
warembo wote utawapata huku,
si unaona hata tb kaambulia huku huku,
be cool Mkuu.

kuna tofauti ya mwanachama na muanzilishi huwezi kuweka sawa Rais na Waziri Mkuu hawawezi kuwa sawa.

unavyotaka liwe vipi swali langu?unataka liwe swali la matusi ndio ulione kuwa ni swali linalovutia? wewe si Ulisema wataka kutoa Siri? mbona hujaitoa hiyo siri yako?

eti swali lingekuwa hivi:
MZIZIMKAVU ndiye mmiliki halali wa JF.
 
MziziMkavu tafakari mwanzilishi wa JF ni mwanachama wa kwanza kujiunga utofauti ni heshima yake ipo juu tofauti na wanachama wengine mkuu. JK ni mwenyekiti wa CCM na ni rais lakini ni mwanachama wa CCM, uanachama wake wa CCM hauna tofauti na mimi mwanachama wa CCM tawi la Wanging'ombe isipokuwa heshima yake ni tofauti na mimi msaka nyoka. Hivyo kwa Maxence Melo, ni lazima alikuwa mtu wa kwanza kujiregister kama mwanachama huku akiwa founder upo?
 
Back
Top Bottom